KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA

RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

Filed in Michezo by on 19/04/2024 0 Comments

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024, Bodi ya Ligi imemtangaza Mwamuzi wa Kimataifa mwenye beji ya FIFA Ahmed Arajiga kuwa ndiye Mwamuzi wa kati katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba.

Mchezo huo wa raundi ya 23 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa kesho Jumamosi ya April 20, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 11:00 Jioni.

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

TFF yamtangaza Mwamuzi Yanga vs Simba April 20-2024

Aidha Arajiga atasaidiwa na Waamuzi wasaidizi Mohammed Mkono na Kassim Mpanga huku mwamuzi wa akiba atakuwa Tatu Malogo.

Orodha Kamili ya Waamuzi wa mchezo huo wa Derby imeorodheshwa hapa chini.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *