RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TIMU 16 Kushiriki Kagame Cup 2024 Zanzibar

Filed in Michezo by on 11/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TIMU 16 Kushiriki Kagame Cup 2024 Zanzibar

TIMU 16 Kushiriki Kagame Cup 2024 Zanzibar,timu zitakazoshiriki Kagame Cup 2024, Simba Kushiriki Kagame Cup 2024, Yanga Kushiriki Kagame Cup 2024, Azam FC Kushiriki Kagame Cup 2024, Coastal Union Kushiriki Kagame Cup 2024.

TIMU 16 Kushiriki Kagame Cup 2024 Zanzibar

TIMU 16 Kushiriki Kagame Cup 2024 Zanzibar,timu zitakazoshiriki Kagame Cup 2024, Simba Kushiriki Kagame Cup 2024, Yanga Kushiriki Kagame Cup 2024, Azam FC Kushiriki Kagame Cup 2024, Coastal Union Kushiriki Kagame Cup 2024.

Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati imerejea tena na itaanza kutimua vumbi Julai 6 na kufikia tamari Julai 22 mwaka huu huko visiwani Zanzibar.

Timu zitakazoshiriki ni :-
1:Yanga SC – Tanzania Bara,
2:Simba SC – Tanzania Bara,
3:Azam FC – Tanzania Bara,
4:Coastal Union – Tanzania Bara
5:JKU SC – Zanzibar
6:Vital’O – Burundi,
7:APR FC – Rwanda,
8:Al Merreikh – Sudan,
9:Al Hilal – Sudan,
10:Hai El Wadi – Sudan,
11:Gor Mahia – Kenya,
12:SC Villa – Uganda,
13:Bentiu – Sudan Kusini,

Aidha, timu tatu kutoka nje ya nchi wanachama wa CECAFA zilizoalikwa na kuthibitisha kuwa zitashiriki Michuano hiyo ni TP Mazembe ya DR Congo, Nyasa Big Bullets ya Malawi na Red Arrows ya nchini Zambia.

Kuwepo kwa mashindano hayo na kwa mujibu wa kalenda ya CAF, aidha hakutakuwepo na Michuano ya CECAFA kwa timu za Taifa ( CECAFA Senior Challenge Cup) ambayo awali ilipangwa kufanyika Juni 29 hadi Julai 14.

Soma zaidi https://cecafaonline.com/tp-mazembe-nyasa-big-bullets-red-arrows-to-spice-up-cecafa-kagame-cup-2024/

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.