TIMU 16 Zitakazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TIMU 16 Zitakazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
TIMU 16 Zitakazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2024/2025,Msimu Mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2024/2025 unatarajiwa Kuanza mwezi mmoja baadae na hizi ni timu 16 zitakazoshiriki msimu huo.
Hiyo ni baada ya Play-Offs ya kuwania kubaki au kupanda Ligi Kuu 2024/2025 kukamilika Kwa Tabora United kuibuka na Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United hivyo Kuvuka hatua hiyo ya mtoano kwa ushindi wa jumla 2-1.
Ikumbukwe kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa mkoani Mara kwenye uwanja wa Karume Juni 16-2024 Biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Kabla ya kukutana na Biashara Tabora United iliianza hatua hii ya mtoano kwa kucheza na JKT Tanzania na kupoteza kwa jumla ya mabao 4-0 huku Biashara United wakishinda kwa jumla ya mabao 4-0 dhidi ya Mbeya Kwanza.
Orodha Kamili ya timu 16 zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025) TIMU 16 Zitakazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2024/2025.
- Young Africans
- Azam FC
- Simba SC
- Coastal Union FC
- KMC FC
- Namungo FC
- Singida Black Stars
- Mashujaa FC
- Tanzania Prisons
- Kagera Sugar FC
- Singida Fountain Gate
- Dodoma Jiji FC
- JKT Tanzania FC
- Tabora United FC
- Kengold FC
- Pamba Jiji FC