RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TIMU ambazo Yanga inaweza Kutana nazo CAF Champions League 2024/2025

Filed in Michezo by on 11/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TIMU ambazo Yanga inaweza Kutana nazo CAF Champions League 2024/2025

TIMU ambazo Yanga inaweza Kutana nazo CAF Champions League 2024/2025

TIMU ambazo Yanga inaweza Kutana nazo CAF Champions League 2024/2025

TIMU ambazo Yanga inaweza Kutana nazo CAF Champions League 2024/2025, Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) 2024/2025 inatarajiwa kufanyika Leo Alhamisi ya Julai 11, 2024 Mjini Cairo nchini Misri, Kuanzia Saa 9:00 Alasiri.

Kwa mujibu wa Kalenda ya Michuano hiyo, mechi za hatua ya awali mtoano zitaanza kuchezwa August 16 hadi 18 na Marudiano itakuwa ni August 23 hadi 25.

Mechi za raundi ya kwanza zitapigwa September wakati hatua ya Makundi itaanza October 2024.

Kuelekea droo hiyo Klabu ya Young Africans itaanzia raundi ya awali (Preliminary) na washindi 27 wa raundi ya awali watafuzu raundi ya kwanza na kuungana na timu 5 zinazoanzia raundi ya kwanza kufanya raundi ya kwanza iwe na timu 32, huku washindi wa jumla wa raundi ya kwanza wanafuzu hatua ya Makundi.

Timu 59 zitashiriki CAF Champion League na timu 5 ambazo ni Al Ahly ya Misri, Esperance ya Tunisia, Mamelodi ya South Africa, Petro Luanda ya Angola na TP Mazembe) ya DR Congo zitaanzia raundi ya kwanza huku timu nyingine 54 zote zitaanzia raundi ya awali (Preliminary).

Klabu ya Yanga itapangwa na timu ambayo itatoka Pot 2 yenye timu 11 za (Vitalo ya Burundi, Solar7 ya Djibouti, Commercial Bank ya Ethiopia, Gor Mahia ya Kenya, APR ya Rwanda, El Merreick na Juba za Sudan.

Timu zingine ambazo Yanga inaweza kukutana nazo ni Dakadaha ya Somalia, Azam FC ya Tanzania, SC Villa ya Uganda na JKU ya Zanzibar).

Aidha kuwa kutakuwa michezo 6 raundi ya awali kwa timu 11 zilizopo Pot 2 + Yanga na washindi 6 wa jumla wa michezo ya awali watafuzu raundi ya kwanza, huku washindi wa raundi ya kwanza watafuzu hatua ya Makundi.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.