Ufadhili wa Elimu kwa Watoto wenye Ualbino
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Taasisi ya Wawosa Kupitia Mkurugenzi wake, Bi Magreth Swai inawatangazia watanzania wote kuwa inatoa ufadhili wa elimu kwa watoto wote wenye ualbino kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.
Shule ipo Katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe.
Kutokana na tangazo hilo la ufadhili kutoka Taasisi ya Wawosa kama una ndugu au mtoto mwenye ualbino toa taarifa Kwa namba ya simu 0745169882.