RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025

Filed in Michezo by on 24/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025

UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025, Jezi Mpya za Simba SC Msimu wa 2024/2025, Jezi Mpya za Simba Sports Club 2024-2025, Jezi Mpya za Simba 2024/25, Muonekano w Jezi mpya za Simba 2024.

UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025

UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025, Jezi Mpya za Simba SC Msimu wa 2024/2025, Jezi Mpya za Simba Sports Club 2024-2025, Jezi Mpya za Simba 2024/25, Muonekano w Jezi mpya za Simba 2024.

Klabu ya Simba imezindua rasmi jezi zao za msimu wa 2024/2025 huko mkoani Morogoro kwenye Mbuga za Mikumi  zilizopewa jina la Ubaya Ubwela.

Jezi hizo zipo aina tatu ambazo ni Jezi za nyumbani (Nyekundu),  jezi za ugenini (Nyeupe) na Blue ambazo ni jezi mbadala (Third Kit).

Gharama na Upatikanaji wa Jezi
Jezi hizo baada ya kuzinduliwa ni Tsh shilingi 32,000 kwa kila moja.

Mashabiki na wafanyabiashara wanaweza kununua jezi hizi kuanzia matawi yote ya Simba SC na kwa wauzaji wa jumla wa Simba nchini kote.

Upatikanaji wa jezi hizi umewekwa vizuri ili kuhakikisha kila shabiki anaweza kupata jezi kwa urahisi.

UZI Mpya wa Simba SC 2024/2025

Kwa wale ambao wangependa kununua jezi mpya za Simba, wanaweza kutumia namba za simu zilizoainishwa kwaajili ya mawasiliano na kufanya oda.

Namba za mawasiliano ni +255675500000 na +255718431948, jezi hizi pia zitapatikana kwenye maduka ya michezo na maeneo mengine yaliyosajiliwa kuuza bidhaa za Simba SC.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.