VIDEO | Uzinduzi Kitabu Cha Yanga 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
VIDEO | Uzinduzi Kitabu Cha Yanga 2024
VIDEO | Uzinduzi Kitabu Cha Yanga 2024, Ni hotuba ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya Yanga, uliofanyika usiku wa Juni 15 Hyatt Hotel Dar es Salaam.
Huyu ni Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Dotto Biteko ambaye amezungumza mengi ikiwemo kuonya klabu za mpira kuepuka migogoro, mipango ya serikali kuendeleza michezo Tanzania, lakini pia ameitaja timu anayoshabikia Tanzania.
UZINDUZI KITABU CHA YANGA 204 ni Hotuba kamili ya Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko, bonyeza Hapa kutazama.
KUTAZAMA UZINDUZI KAMILI BONYEZA HAPA