RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania

Filed in Makala by on 11/05/2024 10 Comments

VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania

VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania,Sifa za kujiunga na jeshi la polisi 2024,Fomu ya kujiunga na chuo cha polisi Moshi,Mfano wa barua ya kujiunga na Jeshi La polisi,Nafasi za kujiunga na Jeshi la Polisi 2024,majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi 2023/2024,ajira za polisi 2023/2024,Jeshi la polisi Tanzania,Kazi za jeshi la polisi tanzania,Historia ya jeshi la polisi tanzania,Vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi 2023 

VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania

VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania,Sifa za kujiunga na jeshi la polisi 2024.

MUOMBAJI ANATAKIWA:

 • Awe Mtanzania kwa Kuzaliwa.
 • Awe na Umri Kuanzia Miaka 18 hadi 25.
 • Awe Amehitimu Kidato Cha Nne na Kuwa na Ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Nne Kwa alama 28.
 • Awe na Urefu Usiopungua 5’3” Kwa Wasichana na 5’6” Kwa Wavulana.
 • Awe na Afya Njema Iliyothibitishwa na Daktari wa Serikali.
 • Asiwe na Ulemavu wa Viungo
 • Asiwe na Makovu Makubwa
 • Asiwe na Chata Mwilini (Tatoos)
 • Asiwe na Kumbukumbu za Uhalifu.
 • Awe Tayari Kufanya Kazi Mahali Popote Ndani na Nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 • Awe na Moyo wa Uvumilivu pia awe Mbunifu ili Kupambana na Changamoto za Kiusalama.

Tags: , , ,

Comments (10)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Khamis mbona says:

  I like it

 2. Kujiunga na jeshi la polic

 3. Kujiunga na jeshi la polic Tanzania

 4. Marco says:

  Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania nimehitimu kidato Cha nne kwa ufauli dv four kwani naweza kufanyaj kazi hii popote pale ili kudumishi usalama wa WA Tanzania pamoja na mali zao

 5. NAOMBA NAFASI YA KUJUUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2022 NILIPATA UFAHULU WA DIVISION 4. NIPO TAYARI KUFANYA KAZI HII KWA UTIIFU NA UMAKINI PAMOJA NA USHIRIKIANO MKUBWA. LAKINI PIA NITAFANYA KAZI MAHALI POPOTE NITAKAPO PANGIWA NIPO TAYARI. NINA TUAMINI MAOMBI YANGU YATAKUBALIWA.

  • Dismas baraka danieli says:

   NAOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLIS TANZANIA. NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE, PIA NINAUFAURU WA DIVITION 4. NIKOTAYARI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU MKUBWA. HIVYO BASI NITAKUWA TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE IKIWA INJE YA NCHI HATA NDANI YA NCHI. NITAFUHI SANA KAMA OMBI LANGU LITAKUBALIKA. wako katika ujenzi wataifa.

 6. Alex Fute says:

  Seme ufaulu wangu hauja fika apo kwenye 28 na 29 na ninapenda kia afisa wa polisi 😭😭😭

  • NAOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLIS TANZANIA. NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE, PIA NINAUFAURU WA DIVITION 4. NIKOTAYARI KUFANFA KAZI KWA UADILIFU MKUBWA. HIVYO BASI NIKO TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE IKIWA INJE YA NCHI NA HATA NDANI YA NCHI. NITAFUHI SANA KAMA OMBI LANGU LITAKUBALIKA. wako katika ujezi wa taifa.

 7. Alex Fute says:

  Napenda kuwa afisa wa polisi nilitumikie taifa Sema na ufaulu wa 29 😭😭😭

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *