VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania
VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania,Sifa za kujiunga na jeshi la polisi.
VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Polisi Tanzania ni miongoni mwa nguzo muhimu katika kudumisha amani, Usalama, na Utulivu Nchini.
Ili kutimiza wajibu huu mkubwa, Jeshi la Polisi huhitaji kuajiri vijana wenye Sifa, Ari, na Uzalendo wa hali ya juu watakao fanikisha nia na malengo ya Jeshi.
Kwa mwaka 2024 Jeshi la polisi limefungua mfumo wa kupokea maombi mapya ya ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye ndoto ya kutumikia nchi yao kupitia Jeshi la Polisi.
Kupitia Makala hii utapata mwanga wa kutosha kuhusu Vigezo na Sifa za Kielimu, Maumbile na Nyenginezo maalum, mchakato wa kuomba, na vidokezo vya kukusaidia katika safari yako ya kuwa Askari Polisi nchini Tanzania.
VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania
Ili kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania mwombaji anatakiwa kutimiza sifa zifuatazo:
- Mwombaji awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 25 kwa waombaji wa kidato cha nne, sita, na astashahada.
- Au kati ya miaka 18 na 30 kwa waombaji wa shahada na stashahada.
- Waombaji wa kidato cha nne wawe wamehitimu kuanzia mwaka 2018 hadi 2023 na wawe na daraja la I hadi IV, wenye daraja la IV wawe na alama 26 hadi 28.
- Waombaji wa kidato cha sita wawe wamehitimu kuanzia mwaka 2018 hadi 2023 na wawe na daraja la I hadi III.
- Waombaji wa astashahada, stashahada, na shahada wawe wamehitimu katika fani zinazohitajika na Jeshi la Polisi.
- Wanaume wawe na urefu usiopungua futi 5 na inchi 8, wanawake wawe na urefu usiopungua futi 5 na inchi 4.
- Mwombaji awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka NIDA.
- Awe na uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
- Pia, anatakiwa kuwa na afya njema ya kimwili na kiakili, iliyothibitishwa na daktari wa serikali.
- Aidha, mwombaji anatakiwa awe hajaoa/kuolewa na hana mtoto.
- Ni sharti pia kwamba hajawahi kutumia dawa za kulevya na yuko tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya polisi.
- Mwombaji hapaswi kuwa ameajiriwa na taasisi yoyote ya serikali.
- Zaidi ya hayo, anatakiwa kuwa tayari kufanya kazi za polisi popote nchini Tanzania, kujigharamia katika hatua zote za usaili, asiwe na alama za kuchorwa mwilini, na asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, Sifa za kujiunga na jeshi la polisi., VIGEZO na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania, vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania
Fomu za kuomba nafasi za kaz ya polis zinapatikana wp
I like it
Kujiunga na jeshi la polic
Kujiunga na jeshi la polic Tanzania
Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania nimehitimu kidato Cha nne kwa ufauli dv four kwani naweza kufanyaj kazi hii popote pale ili kudumishi usalama wa WA Tanzania pamoja na mali zao
I like this job
NAOMBA NAFASI YA KUJUUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2022 NILIPATA UFAHULU WA DIVISION 4. NIPO TAYARI KUFANYA KAZI HII KWA UTIIFU NA UMAKINI PAMOJA NA USHIRIKIANO MKUBWA. LAKINI PIA NITAFANYA KAZI MAHALI POPOTE NITAKAPO PANGIWA NIPO TAYARI. NINA TUAMINI MAOMBI YANGU YATAKUBALIWA.
NAOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLIS TANZANIA. NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE, PIA NINAUFAURU WA DIVITION 4. NIKOTAYARI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU MKUBWA. HIVYO BASI NITAKUWA TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE IKIWA INJE YA NCHI HATA NDANI YA NCHI. NITAFUHI SANA KAMA OMBI LANGU LITAKUBALIKA. wako katika ujenzi wataifa.
Seme ufaulu wangu hauja fika apo kwenye 28 na 29 na ninapenda kia afisa wa polisi 😭😭😭
NAOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLIS TANZANIA. NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE, PIA NINAUFAURU WA DIVITION 4. NIKOTAYARI KUFANFA KAZI KWA UADILIFU MKUBWA. HIVYO BASI NIKO TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE IKIWA INJE YA NCHI NA HATA NDANI YA NCHI. NITAFUHI SANA KAMA OMBI LANGU LITAKUBALIKA. wako katika ujezi wa taifa.
Napenda kuwa afisa wa polisi nilitumikie taifa Sema na ufaulu wa 29 😭😭😭