KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024

Filed in Michezo by on 13/01/2024 0 Comments

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 score, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 results.

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024, Viingilio mlandege vs simba Fainali Mapinduzi cup 2024 score, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 results.

Fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, Kati ya Mlandege FC na Simba SC, inatarajiwa kufanyika Leo Jumamosi ya January 13.2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex.

Kuelekea mchezo huo ambao utapigwa Kuanzia Saa 2:15 Usiku, Kamati ya Maandalizi ya Mashindano hayo imetaja Viingilio vya Mchezo huo kama ifuatavyo:-

  • Jukwaa la upande wa Kaskazini na Kusini, upande wa Magoli ni Shilingi Elfu Tano (5,000/=)
  • Jukwaa la Urusi, Upande wa Mashariki ya Uwanja, Ni Shilingi Elfu Kumi(10,000/=)
  • Jukwaa la VIP (Wings) Upande wa kushoto na kulia, Geti Namba Moja na Namba Mbili ni Shilingi Elfu Ishirini (20,000/=)
VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 score, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 results.

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024

Aidha Tiketi zitaanza kuuzwa Mapema kuanzia Saa Nne 4:00 Leo asubuhi, katika Maeneo maalum hapo hapo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex.

Kamati hiyo imesema kuwa Milango ya Kuingilia Uwanjani itafunguliwa kuanzia Saa Sita 6:00 Mchana na Saa Nane 8:00, Mchana Ratiba ya Burudani mbalimbali zitaanza kabla ya Mchezo wenyewe wa Fainali.

Simba SC ilitinga Fainali Fainali hizo baada ya ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar January 10,2024.

Kwenye mchezo huo Singida Fountain Gate ilitangulia kwa bao la Mshambuliaji, Elvis Rupia dakika ya 11, kabla ya Fabrice Luamba Ngoma kuisawazishia Simba SC dakika za nyongeza kipindi Cha pili.

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 score, Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 results.

VIINGILIO Mlandege vs Simba Fainali Mapinduzi Cup 2024

Mlandege SC ambao ni Mabingwa watetezi wao walitinga Fainali hizo baada ya ushindi wa penalti 4-2 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja huo huo New Amaan Complex, Zanzíbar.

Viingilio mlandege vs simba fainali mapinduzi cup 2024 live, Viingilio Simba SC vs Mlandege FC, Viingilio Simba vs Mlandege Fainali Mapinduzi Cup 2024.

SIMBA SC Logo PNG,Simba logo DLS 2023, Simba sports club Wallpaper, Simba logo vector, Simba SC photos, Yanga Logo, Nembo ya simba 2022,Simba sc logo png, Simba sc logo download, Simba sc logo desig, simba s.c. logo url,simba s.c. logo mpya, Simba sc logo history,Simba sc logo png, Simba sc logo download, Simba sc logo design,simba s.c. logo url, Simba sc logo history, simba s.c. logo mpya,Simba sports club Wallpaper, Simba logo DLS, Simba logo vector, Simba SC photos, Yanga Logo, Yanga logo png.

SIMBA SC Logo PNG

Simba Sports Club is a professional football club based in Kariakoo ward in Ilala District of Dar es Salaam Region in Tanzania,Matokeo simba vs mlandege fc january 13 2024 line, Mapinduzi cup 2024 table, Mlandege vs apr live score, Mlandege fc vs Simba Mapinduzi cup 2024.

Simba S.C
Full nameSimba Sports Club
Nickname(s)Wekundu wa Msimbazi (Reds of Msimbazi) or Lunyasi
Short nameSSC
Founded1936; 87 years ago
GroundBenjamin Mkapa Stadium
Capacity60,590
ChairmanMurtaza Mangungu
Head CoachAbdelhak Benchikha
LeagueTanzanian Premier League
2022-232nd

Founded in 1936 as Queen before changed to Sunderland and in 1971 it was finally renamed Simba (Swahili for “Lion”). The team’s nickname, Wekundu wa Msimbazi (The Reds of Msimbazi), is a reference to their all-red home strip and Msimbazi Street in Kariakoo where their headquarters is based.

Simba SC has won 22 league titles and five domestic cups and has participated in CAF Champions League multiple times. It is also among the giant clubs in East and Central Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.

Simba plays their home games at the Benjamin Mkapa Stadium in Miburani ward of Temeke District. In 2022, Simba was the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

The club was ranked among the top ten clubs in Africa, at number 10, by the International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) in their May 1, 2022 – April 30, 2023 rankings. Globally, the club was ranked at number 105 in the IFFHS World Ranking.

The club is one of the richest in East Africa, with a total budget of TSh 6.1 billion (equivalent to $5.3 million) unveiled for the 2019/2020 season.

Simba holds a long-standing rivalry with Yanga with whom they contest the Kariakoo derby, named after the ward where both teams were founded. The rivalry was ranked 5th as one of the most famous African derbies.

SIMBA vs Mlandege Live Leo, Matokeo ya Simba SC vs Mlandege Leo Jumamosi, Matokeo ya Simba Sc vs Mlandege FC Leo 13 January 2024,Simba sc vs Mlandege FC results , Simba Sc players, Simba SC logo,Mlandege fixtures, Mlandege players, Mlandege FC table, Mlandege FC results, Mlandege Zanzibar, Mlandege FC live, Mlandege fc wikipedia, Mlandege vs Simba.

About Mlandege Football Club

Mlandege FC Logo, Mlandege FC resultsZff, Mlandege vs Uhamiaji H2H, Kipanga vs Mlandege, Mlandege vs jku, Zimamoto FC, Mlandege logo png, Mlandege logo history, Mlandege FC, Mlandege Zanzibar, Mlandege FC table.

Mlandege FC Logo

Mlandege FC is an association football club from Unguja that competes in the Zanzibar Premier League. With seven league titles, it is the joint most successful club in league history along with KMKM. The club was founded in 1970.

Mlandege FC
Full nameMlandege Football Club
Nickname(s)Team Mulla
Short nameMFC
Founded1970; 54 years ago
GroundAmaan Complex
Capacity15,000
ChairmanKamal Abdulsatar
LeagueZanzibar Premier League
20201st (Champions)

Achievements

  • Zanzibar Premier League : 7
1996, 1997, 1998, 1998, 2001, 2002, 2020.
•Mapinduzi Cup: 1
2023

Simba SC storm into Mapinduzi Cup final, Mlandege FC caution Simba ahead of Mapinduzi Cup final, Matokeo Simba SC vs Mlandege Fainal Mapinduzi Cup 13-1-2024, Simba vs mlandege mapinduzi cup 2024 results, Simba vs mlandege mapinduzi cup 2024 lineups, Fainali mapinduzi cup 2024, Mapinduzi cup 2024 table, Mapinduzi Cup Fixtures Simba sc.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *