VIINGILIO Simba vs Fountain Gate August 25-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Klabu ya Simba Sports Club inatarajiwa kucheza mchezo wa pili unatarajiwa a Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC.
Mchezo huo utachezwa Jumapili hii ya August 25-2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex kuanzia saa 10:00 jioni.
Kuelekea mchezo huo klabu ya Simba imetangaza viingilio ambapo mzunguuko itakuwa ni Tsh 10,000 huku VIP ikiwa ni Tsh 20,000.