RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024

Filed in Michezo by on 26/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024

VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024,Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 score, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 lineups,Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 results, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 live, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 prediction, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 line.

VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024

VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024,Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 score, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 lineups.

UONGOZI wa Klabu ya Simba SC umesema kuwa mechi yao ya mwisho ya Kundi B CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi ya Machi 2-2024 kuanzia saa 1:00 usiku.

Meneja habari wa Klabu hiyo Ahmed Ally amesema kuwa Kikosi kimerejea nchini na leo jioni kitaanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy na mchezo wa ASFC dhidi TRA ambao utapigwa Jumatano kwenye uwanja wa Azam Complex, Jijini Dar Es Salaam.

VIINGILIO Simba vs Jwaneng Galaxy March 02-2024,Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 score, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 lineups,
Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 results, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 live,
Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 prediction, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 line.Kwenye mchezo huo, ushindi wa aina yoyote ambao Simba itaupata utaifanya ifuzu bila kujali Wydad kapata ushindi wa aina gani, kwani Simba na Wydad wakishinda wote watakuwa na pointi tisa na kanuni ya kwanza ya CAF inaangalia Head to Head, mechi ya kwanza Wydad waliifunga Simba bao 1-0, kwenye mchezo wa marudiano Simba ikawafunga 2-0.

Kuhusu Viingilio vya mchezo huo Ahmed Ally amesema kuwa “Tiketi zimeshaanza kuuzwa na niwakumbushe Wanasimba rekodi zote ambazo tuliziweka, ziliwekwa na Wanasimba wenyewe.

Wakati tunamfunga AS Vita mara 2, wakati tunamfunga Horoya mabao 7 ushindi wote ulitokana na mashabiki wa Simba. Ili tumnyoe Jwaneng tunawahitaji Wanasimba.

Viingilio cya Mchezo huo vitakuwa kama ifuatavyo;
Mzunguko – Tsh. 5,000
VIP C – Tsh. 10,000
VIP B – Tsh. 20,000
VIP A – Tsh. 30,000.”

Aidha Kuna tiketi za Platinum kwa Tsh. 150,000. Utapata kifurushi maalumu kutoka Simba, usafiri kutoka hotelini hadi uwanjani ukiwa na escort pamoja na chakula.

“Tumeongeza kifurushi kingine kinaitwa Tanzanite, hii anayenunua anakaa pale VVIP, kama akija Infantino au Mhe. Rais Samia unakaa nae eneo moja. Hii inauzwa Tsh. 200,000. Unapata car gate pass, chakula na vinywaji. Watu wa Tanzanite na Platinum wapige simu

“Huu sio muda wa kufanya kingine chochote, huu ni muda wa kujipanga kwenda kumuua Jwaneng Galaxy. Tufanye maandalizi ya maana kwenye matawi yetu na kujipanga kila mtu ajipange Simba tupo wengi nchi hii. Tutambue tunaelekea kwenye vita ya kisasi, Mwanasimba anayenunua tiketi ajue kwamba hajanunua tiketi tu, amenunua silaha ya kisasi. Twende tukatinge robo fainali.”

“Kama kawaida kutakuwa na hamasa, na sisi ndio wataalamu wa hamasa. Wiki iliyopita nimeona hamasa za kitoto. Wiki hii tutafanya hamasa kubwa mno na tutafanya kwa ubora.

Jumatano tutafanya uzinduzi wa hamasa katika tawi la Tunawakera lililopo Keko Maduka Mawili kuanzia saa 3 asubuhi. Msafara utaanzia Keko Furniture.”

“Tarehe 29 tutafanya hamasa ndani ya mabasi ya mwendokasi kuanzia saa 3 asubuhi katika kituo cha mwendokasi Gerezani muhimu uvae jezi yako ya Simba. Kutakuwa na mabasi maalumu ambayo tutazunguka mjini hapa kupiga kampeni.“-

NB “Mgeni rasmi katika mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni Henock Inonga sababu ndio mchezaji pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ameifikisha timu yake ya taifa kwenye nafasi ya nne kwenye AFCON 2023.”- Ahmed Ally.

Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 results, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 live, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 prediction, Viingilio simba vs jwaneng galaxy march 02 2024 line.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.