VIINGILIO Wiki ya Mwananchi 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
VIINGILIO Wiki ya Mwananchi 2024
VIINGILIO Wiki ya Mwananchi 2024, Klabu ya Yanga imetangaza viingilio vya Tamasha la Wiki ya Mwananchi ambalo kilele chake kutakuwa August 04-2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kiingilio cha chini kabisa Mzunguuko kutakuwa Tsh 5,000 pia tiketi zimeanza kuuzwa Makao Makuu ya Klabu Jangwani na kwenye maduka ya TTCL nchi nzima pamoja na kwenye mitandao ya simu.
Viingilio vilivyotajwa ni kama ifuatavyo;
VIP A itakuwa Tsh 50,000.
VIP B itakuwa Tsh 30,000.
VIP C itakuwa Tsh 15,000.
Vitu vya rangi ya Machungwa itakuwa Tsh 10,000 na
Mzunguko itakuwa Tsh 5,000 tu.