RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

VIINGILIO Yanga vs CR Belouizdad February 24-2024

Filed in Michezo by on 21/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

VIINGILIO Yanga vs CR Belouizdad February 24-2024

VIINGILIO Yanga vs CR Belouizdad February 24-2024,Hivi hapa Viingilio Yanga vs CR Belouizdad, Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024 score, Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024.

Baada ya Kupata Ushindi mnono wa mabao 3 – 0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Klabu ya Yanga sasa nguvu zote wanaelekeza kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2023/1024).

Klabu hiyo itakuwa mwenyeji wa mchezo huo dhidi ya CR Belouizdad ukiwa ni mchezo wa raundi ya tano wa Kundi D utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi ya February 24-2024 kuanzia saa 1:00 usiku

Mchezo huo ni muhimu Kwa Yanga kwani wanahitaji ushindi wa kuanzia Mabao 3 ili kufuzu Robo Fainali endapo itatokea Al Ahly wakaifunga Medeama kwenye mchezo utakaopigwa February 23-2024.

Kuelekea mchezo huo, Yanga imetangaza viingilio vyake ambapo Kiingilio cha chini itakuwa Tsh 5,000 Kwa Mzunguko z wakati VIP A itakuwa Tsh 30,000, VIP B itakuwa Tsh 20,000 na VIP C itakuwa Tsh 10,000.

VIINGILIO Yanga vs CR Belouizdad February 24-2024,Hivi hapa Viingilio Yanga vs CR Belouizdad, Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024 score, Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024.

VIINGILIO Yanga vs CR Belouizdad February 24-2024

Kwenye Msimamo wa kundi D, Al Ahly ndio Vinara wakiwa na pointi sita, Belouizdad wako nafasi ya pili wakiwa na pointi tano sawa na Yanga wakitofautiana Kwa mabao.

Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024 stats, Viingilio yanga vs cr belouizdad february 24 2024 live, Yanga vs CR Belouizdad Leo, Yanga vs CR Belouizdad CAF Champions League 2023/2024, Yanga SC vs CR Belouizdad February 24-2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.