VIINGILIO Yanga vs Vital’O August 24-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Viingilio vya mchezo wa pili raundi ya awali kati ya Young Africans dhidi ya Vital’O FC utakaochezwa Jumamosi hiiya tarehe 24.08.2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jijini Dar Es Salaam.