VILABU 30 Bora Afrika 2023/2024 CAF Club Ranking
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Baada ya kukamilika Michuano ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup msimu wa 2023/2024, huku Al Ahly na Zamalek wakiibuka Mabingwa wa Michuano hiyo, hii hapa ni orodha mpya ya Vilabu 30 Bora Afrika.
Katika orodha hii mpya Klabu ya Simba SC imeshuka hadi nafasi ya 7 kutoka nafasi ya 5 ikiwa na pointi 39 sawa na Petro de Luanda ya Angola zikiwa zimezidiwa na timu za Al Ahly Mabingwa wenye pointi 87.
Timu zingine zilizo juu ya Simba ni Espérance de Tunis wenye pointi 61, Wydad Casablanca pointi 60, Mamelodi Sundowns pointi 54, Zamalek SC Mabingwa yenye Pointi 48 na RS Berkane yenye pointi 42.
Klabu ya Yanga wao kwenye Club ranking wameshuka hadi nafasi ya 13 kutoka nafasi ya 12 wakiwa na pointi 31.
Orodha Kamili ya Vilabu 30 Bora msimu wa 2023/2024 Kwa Mujibu wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) ni kama ifuatavyo;
-
- Al Ahly SC – Egypt = 87.
- Espérance de Tunis – Tunisia = 61
- Wydad Athletic – Morocco = 60.
- Mamelodi – South Africa = 54.
- Zamalek SC – Egypt = 48.
- RS Berkane – Morocco = 42.
- Simba SC – Tanzania = 39.
- Petro de Atletico – Angola = 39.
- TP Mazembe – DR Congo = 38.
- CR Belouizdad – Algeria = 37.
- USM Alger – Algeria = 36.
- Raja Casablanca – Morocco = 35.
- Young Africans – Tanzania = 31.
- ASEC Mimosas – Ivory Coast = 30.
- Pyramids FC – Egypt = 29.
- Al Hilal Omdurman – Sudan = 25.
- JS Kabyilie = Algerian = 22.
- Rivers United – Nigeria = 18.
- Horoya Athletic – Guinea = 18
- Etoile du Sahel – Tunisia = 16.
- Orlando Pirates – South Africa = 16
- Dreams FC – Ghana = 15.
- ES Sétif – Algeria – 14.
- Modern Future FC – Egypt = 12.
- Marumo Giallants – South Africa = 12
- Coton Sport FC – Cameroon = 11.5.
- FC Nouadhibou – Mauritania = 10.5.
- Abu Salem SC – Libya = 10.
- Stade Malien – Mali = 10
- Kaizer Chiefs – South Africa = 10.
Soma na hii pia: FEDHA Watakazopata Washindi wa CAF 2024/2025