RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

VITA ya Kupanda Ligi Kuu ya NBC Biashara yaanza vema

Filed in Michezo by on 19/05/2024 0 Comments

VITA ya Kupanda Ligi Kuu ya NBC Biashara yaanza vema

VITA ya Kupanda Ligi Kuu ya NBC Biashara yaanza vema

VITA ya Kupanda Ligi Kuu ya NBC Biashara yaanza vema

VITA ya Kupanda Ligi Kuu ya NBC Biashara yaanza vema, Mchezo wa kwanza wa mchujo wa timu za NBC Championship kupanda Ligi Kuu ya NBC Kati ya Biashara United dhidi ya Mbeya kwanza umemalizika kwa Biashara United kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya kwanza.

Mabao ya Biashara United yamefungwa na Abeid Othman dakika ya 22 na Boban Bogere dakika ya 34 na Kuifanya Biashara United kuondoka na ushindi huo muhimu kwenye uwanja wake wa nyumbani.

Mchezo wa pili wa mtoano utachezwa May 26 saa 10:00 jioni katika uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara ukiwa uwanja wa nyumbani wa Mbeya kwanza.

Mshindi wa jumla wa michezo hii atacheza na timu itayofungwa kwenye mchezo utakaozikutanisha timu zilizoshika nafasi ya 13 na 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na mshindi wa mchezo huo atashiriki Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *