WACHEZAJI Walioachwa Yanga 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WACHEZAJI Walioachwa Yanga 2024/2025
WACHEZAJI Walioachwa Yanga 2024/2025,Wachezaji Walioachwa na Simba 2024/2025,Wachezaji Walioachwa Yanga SC 2024/2025, Wachezaji Walioachwa na Klabu ya Yanga 2024/2025, Wachezaji waliopewa Thanks Yanga SC 2024/2025.
Wakati dirisha Kubwa la Usajili Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 lililofunguliwa Juni 15 likitarajiwa kufungwa Agosti, 31 saa 5:59 usiku, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya dirisha hilo kufungwa.
Kutokana na taarifa hiyo kutoka TFF timu zinapaswa kukamilisha usajili ndani ya muda ikiwa ni pamoja na uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa wachezaji wanaotoka nje ya nchi.
Kuelekea dirisha hilo kufungwa Nijuze Habari inakuletea Wachezaji ambao wameachwa na Klabu ya Young Africans Kuelekea Msimu Mpya wa 2024/2025.
- Metacha Mnata
- Zawadi Mauya
- Augustine Okrah
- Joyce Lomalisa
Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1935, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Jina la utani la Yanga ni Wananchi au Wanajangwani.
Yanga Katika historia imefanikiwa kushinda Ubingwa mara 30 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki CECAFA Kagame Cup.
Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Wachezaji Walioachwa na Klabu ya Yanga 2024/2025, Wachezaji Walioachwa na Simba 2024/2025, WACHEZAJI Walioachwa Yanga 2024/2025, Wachezaji Walioachwa Yanga SC 2024/2025, Wachezaji waliopewa Thanks Yanga SC 2024/2025.