WACHEZAJI Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WACHEZAJI Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024
WACHEZAJI Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024,Tuzo za TFF msimu wa mwaka 2023/2024 zinatarajiwa kufanyika Agosti 01, 2024 ukumbi wa The Super Dome Masaki, Jijini Dar es Salaam.
Tayari Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa washiriki katika Makundi mbalimbali ya Tuzo hizo.
Tuzo hizo zimegawanyika katika makundi matano ambayo ni;
- Tuzo za Kombe la Shirikisho la
- Benki ya CRDBTuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
- Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
- Tuzo za Utawala, na;
- Tuzo za Ligi nyingine
Msimu huu kutakuwa na ongezeko la tuzo tatu ambazo hazikuwepo msimu uliopita na kati ya hizo tuzo mbili ni mpya hazijawahi kutolewa, wakati tuzo moja iliwahi kutolewa lakini msimu uliopita haikuwepo.
Tuzo mpya ni Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanaume) na Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanamke).
Tuzo nyingine ni Mchezaji Bora wa Soka la Ufukweni.
Orodha kamili ya tuzo hizo na wateule wake ni kama ifuatavyo:
TUZO ZA KOMBE LA CRDB.
Mfungaji Bora
1:Clement Mzize – Yanga SC.
2: Edward Songo – JKT Tanzania.
KIPA BORA
1:Djigui Diarra – Yanga SC.
2:Khomeiny Abubakar – Singida Black Stars.
3: Mohamed Mustapha – Azam FC.
TUZO ZA LIGI KUU YA WANAWAKE.
MFUNGAJI BORA.
1:Aisha Mnuka – Simba Queens.
KIPA BORA
1:Najath Abbas – JKT Queens.
2:Caroline Rufaa – Simba Queens.
3:Mariam Shaaban – Bunda Queens.
MCHEZAJI BORA.
1:Aisha Mnuka – Simba Queens.
2:Stumai Abdallah – JKT Tanzania.
3:Kaenda Wilson – Yanga Princess.
4:Violeth Nichaus – Simba Queens.
5:Vivian Corazone – Simba Queens.
KOCHA BORA.
1:Juma Mgunda – Simba Queens.
2:Esther Chabruma – JKT Queens.
3:Noah Kanyoga – Ceasia Queens.
Kikosi Bora kitatangazwa usiku wa tuzo (Ukumbini)
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI.
1:Esther Maseke – Bunda Queens.
2:Lydia Kabambo – JKT Queens.
3:Bituro Mgosi – Bunda Queens.
MWAMUZI MSAIDIZI BORA.
1:Sikudhan Mkurugwa.
2:Glory Tesha.
3:Zawadi Yusuph.
4:Monica Wazael.
5:Getruda Getvas.
MWAMUZI BORA.
1:Amina Kyando.
2:Tatu Malogo.
3:Anitha Kisoma.
4:Esther Adalbert.
TIMU YENYE NIDHAMU.
1:Bunda Queens.
2:Simba Queens.
TUZO ZA LIGI KUU YA NBC (PL)
MCHEZAJI BORA.
1:Stephen Aziz Ki – Yanga SC.
KIPA BORA.
1:Ayoub Lakred – Simba SC.
2:Djigui Diarra – Yanga SC.
3:Ley Matampi – Coastal Union.
BEKI BORA.
1:Kouassi Yao – Yanga SC.
2:Ibrahim Abdallah – Yanga SC.
3:Mohamed Hussein – Simba SC.
KIUNGO BORA.
1:Stephen Aziz Ki – Yanga SC.
2:Feisal Salum – Azam FC.
3:Kipre Junior – Azam FC.
MCHEZAJI BORA.
1:Stephen Aziz Ki – Yanga SC.
2:Feisal Salum – Azam FC.
3:Kipre Junior – Azam FC.
4:Djigui Diarra – Yanga SC.
5:Ley Matampi – Coastal Union.
6:Kouassi Yao – Yanga SC.
7:Mohamed Hussein – Simba SC.
8: Ibrahim Abdallah – Yanga SC.
KOCHA BORA.
1:David Ouma – Coastal Union.
2:Bruno Ferry – Azam FC.
3:Miguel Gamondi – Yanga SC.
Kikosi Bora Cha Msimu 2023/2024 kitatangazwa usiku wa tuzo (Ukumbini)
MENEJA BORA.
1:Amri Juma – Azam Complex.
2:Nasser Makau – Mkwakwani.
3:Shaaban Rajabu – Lake Tanganyika.
KAMISHINA BORA.
1:Martin Kibua – Tanga.
2:Zena Chande – Dar Es Salaam.
3:Hamis Kitila – Singida.
4:Sadick Jumbe – Mbeya.
5:Abousufian Silia – Iringa.
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI.
1:Semfuko Charles – Coastal Union.
2:Shomary Raheem – KMC FC.
3:Constantine – Malimi – Geita Gold.
TUZO ZAIDI SOMA HAPA CHINI;