WAFUNGAJI Bora Cecafa Kagame Cup 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WAFUNGAJI Bora Cecafa Kagame Cup 2024
WAFUNGAJI Bora Cecafa Kagame Cup 2024, Orodha ya wanaoongoza Kwa Ufungaji CECAFA Kagame Cup 2024.
- Mohamed Abdelrahman Yousif – Al Hilal = 04.
- Adama Coulibary – Al Hilal = 03.
- Levin Odhiambo – Gormahia = 01.
- Warsam Housen Said – Djibouti Telecom = 01.
- Mbaoma Chukuemeka – APR FC = 01.
- Mamadou SY – APR FC = 01.
- Marouf Tshakei – Singida BS = 01.
- Najib Yiga – SC Villa = 01.
- Kakande Patrick – SC Villa = 01.
- Reagan Mpande – SC Villa = 01.
- James Chamanga – Red Arrows = 01.
- Mwenda Rwamadhan – Coastal Union = 01.
- Chima Ramadhan – Al Wadi = 01.
- Ahmed Esmat – Al Wadi a
= 01. - Ahmed Mohamed – Al Wadi = 01.
- Nor Irad – Dekadaha FC = 01.
- Nassor Matta – JKU SC = 01.
- Never Adeline Kaboma – JKU SC = 01.
- Mohamed Hassan – Al Wadi = 01.
- Abdallah Denis – Coastal Union = 01.
- Ahmed Hamiss Machano – JKU SC = 01.
- Joshua Abdalie – Dekadaha FC = 01.
- Adepoju Oluwasen – Dekadaha FC = 01.
Mashindano ya klabu Bingwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA Kagame Cup 2024 yameanza Kutimua Vumbi Katika Viwanja Vya KMC na Azam Complex leo Julai 9.
Mashindano hayo ambayo yamebatizwa jina Dar Port Kagame Cup 2024 yatafikia tamati July 21-2024 Jijini Dar es Salaam.
Yanajulikana kama Kombe la Kagame Interclub tangu 2002, wakati Rais wa Rwanda Paul Kagame alipoanza kudhamini mashindano hayo.
Mashindano hayo yalianza mwaka 1967, baada ya yalisimamishwa hadi 1974.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Orodha ya wanaoongoza Kwa Ufungaji CECAFA Kagame Cup 2024., WAFUNGAJI Bora Cecafa Kagame Cup 2024