RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


WAJUMBE wa Mo Dewji Wajiuzulu Simba

Filed in Usajili, Michezo by on 06/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

WAJUMBE wa Mo Dewji Wajiuzulu Simba

WAJUMBE wa Mo Dewji Wajiuzulu Simba

WAJUMBE wa Mo Dewji Wajiuzulu Simba

WAJUMBE wa Mo Dewji Wajiuzulu Simba, Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba wameridhia uamuzi wa Rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘MO’ akiwataka waachie ngazi.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimeliambia Mwanaspoti kuwa viongozi wote wa bodi ya Simba wametii wito wa kiongozi wao ambaye ndiye aliyewateua.

“Hadi sasa wajumbe wote  wamejiuzulu kama mambo yataenda sawa kesho au keshokutwa Barbara Gonzalez atatangazwa  kuwa Mwenyekiti huku CEO anatafutwa,” kimesema chanzo hicho na kuongeza;

“Simu hizo amewapigia wajumbe wa upande wake pekee kwani ndio ana uwezo wa kufanya uamuzi huku kwa upande wa klabu viongozi waliopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wanaendelea na majukumu yao kama kawaida,” kimesema chanzo hicho.

Wajumbe hao wa bodi waliokuwa chini ya Mwenyekiti Salum Abdallah ‘Try Again’ ni Dk Raphael Chageni, Hamza Johari, Zulfikar Chandoo na Rashid Shangazi.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.