WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Vyuo vya Ualimu 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Vyuo vya Ualimu 2024/2025,Selection za Vyuo Vya Ualimu 2024/25.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Tanzania imetangaza Majina ya waliochaguliwa katika vyuo mbalimbali vya ualimu kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025.
Kwa maelezo zaidi kuhusu waombaji waliochaguliwa, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya Wizara ya Elimu kwa www.moe.go.tz ambapo sasisho na orodha za watahiniwa waliochaguliwa zimewekwa.
Kuona kama umechaguliwa ingia kwenye link hapa chini nenda sehemu ya System Links ingiza email na Password yako.
BONYEZA HAPA KUONA WALIOCHAGULIWA