WALIOITWA Kazini INEC Kahama Municipal Council August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WALIOITWA Kazini INEC Kahama Municipal Council August 2024
WALIOITWA Kazini INEC Kahama Municipal Council August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kahama Mjini anapenda kuwatangazia waombaji wa kazi ya muda wa Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Byometriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura, kuhudhuria mafuzo yatakayofanyika tarehe 18 – 19 Agosti, 2024 katika vituo vilivyotajwa katika orodha ya majina ya wanaoitwa kwenye Mafunzo.
Wanaoitwa kwenye mafunzo wanapaswa kuzingatia yafuatayo:-
- Kufikia katika vituo vyao vya mafunzo mapema saa 1:30 Asubuhi mafunzo yataanza Saa 2:00 Asubuhi kwa wote.
- Kila mshiriki wa mafunzo anapaswa kuja na kitambulisho kinachoonesha majina cheye picha yake halisi kwaajili ya utambuzi.
- Washirikia ambao hawatafika kwa muda uliopangwa hawataruhusiwa kuendelea na mafunzo pamoja na kushiriki zoezi la Uboreshaji Daftari.
Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi nyingine zitakapotangazwa.
NB: Ni muhimu ratiba ya mafunzo na kituo kilichopangwa kuzingatiwa watakaoenda katika vituo nje ya walivyopangiwa hawatapokelewa.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo/Kazini imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: WALIOITWA Kazini INEC Kahama Municipal Council August 2024