RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


WALIOITWA Kazini INEC Shinyanga District Council August 2024

Filed in Ajira by on 15/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

WALIOITWA Kazini INEC Shinyanga District Council August 2024

WALIOITWA Kazini INEC Shinyanga District Council August 2024

WALIOITWA Kazini INEC Shinyanga District Council August 2024

WALIOITWA Kazini INEC Shinyanga District Council August 2024, Afisa Mwandikishaji Jimbo la Solwa anawatangazia waombaji wa ajira ya muda ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura 2024, kuhudhuria mafunzo yatakayofanyika tarehe 18 hadi 19 Agosti, 2024 katika kumbi zifuatazo kutokana na Kata walizopangiwa:-

KUITWA Kazini INEC Shinyanga Municipal Council August 2024

  • Shule ya Sekondari Zunzuli ( Kata ya Salawe, Mwenge, Solwa, Mwakitolyo, Lyabusalu, Iselamagazi na Nyamalogo)
  • Shule ya Sekondari ya Wasichana Tinde (Samuye, Usanda, Mwamala, Tinde, Nsalala, Masengwa, Mwalukwa, Pandagichiza na Mwatini)
  • Shule ya Msingi Ola iliyopo Didia (Itwangi, Imesela, Nyida, Puni, Didia, Ilola, Usule, Bukene, Lyabukande na Lyamidati)

Wanaoitwa kwenye mafunzo wanapaswa kuzingatia yafuatayo:-

  • Kufika kwenye vituo vya mafunzo saa 1.30 asubuhi na Mafunzo yataanza saa 02.00 asubuhi
  • Kila mshiriki wa mafunzo anapaswa kuja na kitambulisho kinachoonesha majina pamoja na picha yake halisi kwa ajili ya utambuzi.
  • Washiriki ambao hawatafika kwa muda uliopangwa hawataruhusiwa kuingia kwenye mafunzo
  • Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi nyingine itakapojitokeza.

Orodha ya walioitwa kwenye mafunzo imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.