KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023

Filed in Ajira by on 28/12/2023 0 Comments

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Call For Interview at UTUMISHI December 2023, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Utumishi Leo December 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, Walioitwa kwenye USAILI halmashauri mbalimbali 2023, Majina ya walioitwa kwenye usaili TRC 2023, WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023 Download, Tangazo LA Kuitwa kwenye usaili utumishi, Ajira portal, Ajira Portal Call for interview December 2023, Walioitwa KWENYE Usaili TRA, Call for Interview Ajira Portal, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2023, Kuitwa kwenye usaili halmashauri ya Iringa 2023.

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Call For Interview at UTUMISHI December 2023, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Utumishi Leo December 2023.

Ofisi ya Mkurungezi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Itigi inapenda kuwatangazia waombaji kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II nafasi 3 zilizotangazwa tarehe 27 Novemba 2023 katika tangazo lenye Kumb. Na.S1/22 VOL IV 27, kuwa usaili umepangwa kuanyika kama ifuatavyo:.
a) Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 04 Januari 2024 na usaili wa mahojiano ya ana kwa ana utafanyika tarehe 05 Januari 2024 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi.

Aidha, wasailiwa wote walioitwa katika usaili wanatakiwa kuzingatia yafuatayo;.

 • Wafike na vyeti halisi (Original Certificate) pamoja na nakala ya vyeti husika siku ya usaili kama Cheti cha kidato cha nne, cheti cha Taaluma, Cheti cha kuzaliwa, Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kitambulisho cha mkazi, hali ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kata/Mtaa/Kijiji iliyo na picha ya mhusika na iwe imegongwa muhuri.
 • Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi haitahusika na gharama za chakula, malazi na usafiri kwa waombaji wote walioitwa kwenye usaili.
 • Ofisi hii haitawasiliana na wasailiwa kwa njia ya SIMU, hivyo wasailiwa wanatahadharishwa na utapeli unaweza kutokea kwa kupigiwa simu na matapeli na kupewa maelezo mengine.
 • Waombaji ambao majina yao hayaonekani katika Tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo.

Hivyo wajaribu kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kuzingatia vigezo, pamoja na tangazo hili orodha ya waombaji wenye sifa walioitwa kwenye usaili imeambatishwa.

Majina ya wakioitwa kwenye usaili Utumishi 2024, Call for interview at utumishi 2024,Kuitwa kwenye usaili Halmashauri  Mbalimbali 2024,Call for interview at Halmashauri Mbalimbali nchini 2024.

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Call For Interview at UTUMISHI December 2023, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023, Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Utumishi Leo December 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, Walioitwa kwenye USAILI halmashauri mbalimbali 2023, Majina ya walioitwa kwenye usaili TRC 2023, WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023 Download, Tangazo LA Kuitwa kwenye usaili utumishi, Ajira portal, Ajira Portal Call for interview December 2023, Walioitwa KWENYE Usaili TRA, Call for Interview Ajira Portal, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2023, Kuitwa kwenye usaili halmashauri ya Iringa 2023.

WALIOITWA Kwenye Usaili Serikalini Leo December 2023

CALL FOR INTERVIEW PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT AT VARIOUS MUNICIPAL COUNCIL, EARLY

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahususi kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi katika Utumishi wa Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 0f 2002 iliyorekebishwa na Sheria Na.

Kufanya uajiri wa watumishi wa Umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia misingi ya usawa, uwazi na stahili pamoja na kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala ya ajira.

Kazi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Jukumu kubwa la PSRS ni kuwezesha uajiri katika Utumishi wa Umma.

Kwa mujibu wa Sura ya Utumishi wa Umma. 298 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho Na. 18 ya 2007 kifungu cha 29 (1), kazi za PSRS ni:-

 • Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa kanzidata kwa wataalamu hao kwa ajili ya kuwaajiri kwa urahisi;
 • Kusajili wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya kurahisisha kumbukumbu za kujaza nafasi zilizoachwa wazi;
 • Kutangaza nafasi zilizoachwa wazi zinazotokea katika utumishi wa umma;
 • Kushirikisha wataalam wanaofaa kwa madhumuni ya kufanya mahojiano Kushauri waajiri juu ya mambo mbalimbali yanayohusiana na kuajiri, na
 •  Kufanya kitendo au jambo lingine lolote ambalo linaweza kuelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.

Maadili ya msingi Maadili ya msingi ya PSRS ya msingi ya utendaji na mwenendo wa kazi katika kukabiliana na mabadiliko katika jamii, serikali, siasa na teknolojia.

Zifuatazo zilikuwa maadili ya msingi ya PSRS:-

 • Kutafuta ubora katika utoaji wa huduma.
 • Uaminifu kwa Serikali.
 • Bidii.
 • Uadilifu.
 • Kwa hisani kwa wote.
 • Kuheshimu sheria, na Matumizi sahihi ya taarifa rasmi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *