WINCATE Kaari ni Mnyama
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
WINCATE Kaari ni Mnyama
WINCATE Kaari ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa mlinzi, Wincate Kaari kutoka Yanga Princess kwa mkataba wa miaka miwili.
Wincate raia wa Kenya mwenye Umri wa miaka 24 ni mlinzi wa kushoto mwenye uwezo mkubwa wa kuzuia na kupandisha mashambulizi.
Pamoja na jukumu lake Mama kuwa ni kuzuia lakini msimu uliopita Wincate amefunga mabao matatu.
Kutokana na umahiri wake huo msimu wa 2022/23 Wincate alichaguliwa kwenye kikosi bora cha msimu.
Simba Queens imedhamiria kusuka kikosi imara kwa ajili ya michuano ya ndani pamoja na ile ya Kimataifa.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: WINCATE Kaari ni Mnyama