KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

YANGA Bingwa NBC Premier League 2023/24

Filed in Michezo by on 13/05/2024 0 Comments

YANGA Bingwa NBC Premier League 2023/24

YANGA Bingwa NBC Premier League 2023/24

YANGA Bingwa NBC Premier League 2023/24

YANGA Bingwa NBC Premier League 2023/24, Yanga mabingwa NBC Premier League 2023/24.

Baada ya Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar 3-1 na kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikishwa na timu nyingine, Young Africans ndio Mabingwa wapya msimu huu 2023/2024.

Hilo linakuwa taji la 30 la Ligi Kuu kwenye historia ya Yanga ambayo inaongoza kuchukua ikifuatiwa na Simba iliyotwaa mara 22.

Yanga pia imejihakikishia kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao wa 2023/2024.

Aidha hii inakuwa mara ya tatu mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu baada ya kuchukua katika misimu ya 2021/2022 na 2022/2023 na Sasa 2023/2024.

Mpaka sasa, Yanga imeibuka na ushindi katika mechi 23, imetoka sare mara mbili na imepoteza michezo miwili tu.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *