YANGA Ruksa Kujenga Uwanja Jangwani
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
YANGA Ruksa Kujenga Uwanja Jangwani
YANGA Ruksa Kujenga Uwanja Jangwani, Serikali imeiruhusu Klabu ya Yanga Kujenga Uwanja wake wa Kisasa eneo la Jangwani yalipo Makao Makuu ya klabu hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amebainisha hayo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Yanga akionya kwamba Yanga imepewa muda maalum wa kukamilisha ujenzi huo wa uwanja na kwamba ikishindwa itanyang’anywa.
“Tumewapa muda wa kuyafanyia kazi yale ambayo tumewaambia kwenye uwanja huo, ila mkishindwa tutawanyang’anya, tumewapa kipimo, hivyo mzingatie iendane na mpango wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu, kulifanya jiji la Dar es Salaam kuwa la kisasa,” alisema.
Mbali na Yanga, alisema Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Michezo na BMT, watachagua wachezaji bora ambao watakuwa wanakuza vipaji vya watoto.
“Nimeambiwa Kaimu Mkurugenzi wa Baraza la Michezo nchini, Ally Mayay na Edibily Lunyamila ni zao la UMITASHUMTA na UMISETA, ndio maana chini ya Rais Samia anawekeza nguvu katika michezo mashuleni,” alisema.
“Namshukuru rais wa Yanga, Injia Hersi Said kwa kuendesha klabu yenye mafanikio makubwa, ikiwemo uwekezaji na usajili wa wachezaji wazuri na kuleta utulivu wa Yanga, nakumbuka miaka kadhaa iliyopita kabla ya uongozi wa Injinia Hersi, tulifanya kazi kubwa na nilikuwa sehemu hiyo ya mabadiliko, utulivu huo umeleta mafanikio makubwa chini ya Injinia na sasa Yanga inafanya vizuri ligi ya ndani hadi kimataifa,” alisema.
SOMA NA HIZI👇👇👇
- MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024
- TETESI Za Usajili Simba SC 2024/2025
- TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025
- TETESI Za Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 CAF Club Ranking
- SELECTION za Form Five na Vyuo vya Kati 2024
- JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar
- NACTE Muongozo wa Maombi ya Vyuo Certificate na Diploma 2024/2025
- NACTE Muongozo wa Maombi ya Vyuo Certificate na Diploma 2024/2025
- HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MFUMO wa Maombi ya Nafasi za Kazi Serikalini Kupitia Ajiraportal
- How To Open Ajiraportal Account at UTUMISHI
- How To Open Ajiraportal Account at UTUMISHI
- How to register in Ajira portal