SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


YANGA vs Simba kupigwa April 20-2024

Filed in Michezo by on 07/04/2024 0 Comments

YANGA vs Simba kupigwa April 20-2024

YANGA vs Simba kupigwa April 20-2024,Simba vs Yanga head to head, Simba vs yanga last 10 games, Simba vs yanga live, Simba vs Yanga KIGOMA, Simba vs yanga results,Simba vs Yanga 2024,Simba vs Yanga leo,Simba vs yanga lineupsSimba vs Yanga today.

YANGA vs Simba kupigwa April 20-2024

YANGA vs Simba kupigwa April 20-2024,Simba vs Yanga head to head, Simba vs yanga last 10 games, Simba vs yanga live, Simba vs Yanga KIGOMA, Simba vs yanga results,Simba vs Yanga 2024,Simba vs Yanga leo,Simba vs yanga lineupsSimba vs Yanga today.

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga dhidi ya Simba maarufu ‘Kariakoo Derby’ au ‘Dar Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.

Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha kuwa Yanga na na Simba pamoja na wadau wengine wa Ligi Kuu ya NBC wamepatiwa taarifa zote kuhusiana na mchezo huo na maandalizi yake yanaanza mara moja ili kuhakikisha unafanyika katika kiwango cha juu kinachoendana na hadhi ya michezo mikubwa ya Ligi ya sita kwa ubora barani Afrika.

SIMBA vs Yanga kupigwa April 20-2024

SIMBA vs Yanga kupigwa April 20-2024

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

SIMBA vs Yanga kupigwa April 20-2024

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *