KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

YANGA yabakiza mechi 6 za Ubingwa

Filed in Michezo by on 21/04/2024 0 Comments

YANGA yabakiza mechi 6 za Ubingwa

YANGA yabakiza mechi 6 za Ubingwa

YANGA yabakiza mechi 6 za Ubingwa

YANGA yabakiza mechi 6 za Ubingwa, Klabu ya Yanga imeendeleza ubabe kwa watani zao Simba baada ya kuichapa kwa mara ya pili mfululizo ndani ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutokana na ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo uliochezwa Jana Jumamosi April 20-2024 huku ikibakisha mechi sita za ushindi kati ya nane ili kutetea ubingwa wake.

Yanga imeibuka na ushindi huo kutokana na mabao ya Stephanie Aziz Ki dakika ya 20, akifunga kwa penalti, kisha Joseph Guede akafunga la pili dakika ya 38, huku bao pekee la Simba likifungwa na Freddy Michael Koublan dakika ya 74.

Ushindi huo unaifanya Yanga kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kufikisha pointi 58 baada ya mechi 21, huku Simba ikisalia nafasi ya tatu na pointi zake 46 baada ya kucheza mechi 20.

Katika mechi nane ambazo Yanga imebakiwa nazo, ikishinda sita, itafikisha pointi 76 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote, hivyo itatangaza tena ubingwa, Aidha Simba ikishinda mechi zake zote tisa zilizobaki itafikisha 73.

Aidha bao la Stephen Aziz Ki, linamfanya kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio za ufungaji akifikisha mabao 15 na kumuacha Feisal Salum wa Azam FC mwenye mabao 13.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *