KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

YANGA Yafungiwa Kusajili sababu zatajwa

Filed in Michezo, Usajili by on 30/04/2024 0 Comments

YANGA Yafungiwa Kusajili sababu zatajwa

YANGA Yafungiwa Kusajili sababu zatajwa

YANGA Yafungiwa Kusajili sababu zatajwa

YANGA Yafungiwa Kusajili sababu zatajwa,Klabu ya Yanga imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa Mchezaji wake, Lazarus Kambole.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo.

Yanga ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza hukumu hiyo.

Wakati FIFA imeifungia Yanga kufanya uhamisho wa wachezaji kimataifa, TFF imeifungia kufanya uhamisho wa ndani.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF Cliford Ndimbo imeeleza kuwa TFF inazikumbusha klabu kuheshimu mikataba ambayo imeingia na wachezaji pamoja na makocha kuepuka adhabu mbalimbali ikiwemo kufungiwa kusajili.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *