KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

YANGA Yaifuata Azam Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024

Filed in Michezo by on 19/05/2024 0 Comments

YANGA Yaifuata Azam Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024

YANGA Yaifuata Azam Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024

YANGA Yaifuata Azam Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024

YANGA Yaifuata Azam Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024, Klabu ya Young Africans imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF Maarufu CRDB Bank Federation Cup baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo uliochezwa kwa dakika 120 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

But pekee lililoipeleka Fainali Young Africans limefungwa na Stephen Aziz Ki dakika ya 101 akimalizia krosi ya Pacome Zouzoua.

Ushindi huo unaifanya Young Africans kukutana na Azam FC katika Fainali itakaochezwa June 02-2024, hii ni Fainali ya tano kwa Yanga na ya nne mfululizo.

Pia itakuwa ni Fainali yao ya tatu kukutana na Azam FC, ambapo msimu uliopita wa 2022/2023 Yanga iibuka Bingwa baada ya Ushindi wa mabao 2-0, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Azam FC ilitangulia Fainali jana baada ya Kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga, mabao ya Azam FC yalifungwa na Abdul Hamisi ‘Sopu’ mawili, huku bao jingine likifungwa na Feisal Salum Abdallah.

Mchezo huo ulifanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *