SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


YANGA Yapanga Kulipa Kisasi kwa Mamelodi

Filed in Michezo by on 08/04/2024 0 Comments

YANGA Yapanga Kulipa Kisasi kwa Mamelodi

YANGA Yapanga Kulipa Kisasi kwa Mamelodi, Yanga kulipa Kisasi kwa Mamelodi Sundowns, Yanga vs Mamelodi Sundowns, Yanga kukutana na Mamelodi Sundowns Wiki ya Wananchi, Yanga vs Mamelodi Wiki ya Wananchi.

YANGA Yapanga Kulipa Kisasi kwa Mamelodi

YANGA Yapanga Kulipa Kisasi kwa Mamelodi, Yanga kulipa Kisasi kwa Mamelodi Sundowns, Yanga vs Mamelodi Sundowns, Yanga kukutana na Mamelodi Sundowns Wiki ya Wananchi, Yanga vs Mamelodi Wiki ya Wananchi.

Klabu ya Yanga yenye makazi yake mtaa wa Jangwani, Dar Es Salaam imesema kuwa bado haijamalizana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini baada ya kuwaondosha kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Robo Fainali Kwa Changamoto ya Mikwaju ya Penati 3-2.

Akizungumza Ofisa habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema kuwa;

“Nimemuomba Rais wa Yanga @Caamil8 Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 apambane atuletee Mamelodi Sundowns.Sisi na wao bado hatujamalizana..”

Hii inaonesha jinsi gani wananchi bado wana machungu na Klabu hiyo ambayo imefuzu Nusu Fainali ya Michuano hiyo na itakutana na Esperance de Tunis ya Tunisia.

Mchezo wa Nusu Fainali ya Mkondo wa Kwanza utafanyika April 19 na mchezo wa Mkondo wa Pili utachezwa April 26-2024.

Mechi ya Fainali ya Mkondo wa Kwanza itapigwa May 19-2024, ya Mkondo wa Pili ikitarajiwa kupigwa May 26-2024

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *