YANGA Yapelekwa Burundi, Azam Rwanda CAF Champions League 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
YANGA Yapelekwa Burundi, Azam Rwanda CAF Champions League 2024/2025
YANGA Yapelekwa Burundi, Azam Rwanda CAF Champions League 2024/2025, Droo ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League 2024/2025 hatua ya awali na hatua ya Kwanza imekamilika.
Katika hatua ya awali ya CAF Champions League 2025/2025 Klabu ya Young Africans ya hapa Tanzania imepangwa kukutana na Vital’O FC Kutoka Burundi, huku Azam FC ikicheza dhidi ya APR ya Rwanda.
Katika michezo hiyo Klabu ya Azam FC itaanzia nyumbani huku Yanga ikianzia ugenini.
Michezo wa mkondo wa kwanza itapigwa kati ya August 17-18 na marudiano ipigwa kati ya August 24-25.
Mshindi wa mchezo wa Vitalo dhidi ya Yanga atacheza na mshindi wa mchezo kati SC Villa ya Uganda dhidi ya Commercial Bank ya Ethiopia.
Kwa Upande wa Azam FC, mshindi wa mchezo huo dhidi ya APR atacheza na mshindi wa mchezo kati ya JKU ya Zanzibar na Pyramids ya Misri.
Droo kamili ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025 tazama hapa Chini.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Azam Rwanda CAF Champions League 2024/2025, YANGA Yapelekwa Burundi, YANGA Yapelekwa Burundi na Rwanda CAF Champions League 2024/2025