RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania

Filed in Michezo by on 25/04/2024 0 Comments

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania, Klabu ya Yanga imeingia Makubaliano ya miaka miwili (2) ya Ushirika na Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) ambapo Utazinufaisha Pande zote mbili.

Kwa mujibu wa Makubaliano hayo, Yanga wataitangaza biashara ya ATCL na wao watapatiwa punguzo la bei kwenye safari zao mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Mbali na kuitangaza ATCL, pia Yanga wataitangaza Tanzania ikiwa ndio lengo Mama la Mkataba huo, amezungumza Mtendaji Mkuu wa ATCL Ladislaus Matindi.

“Tumesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitangaza Air Tanzania katika kipindi chote hicho. Nasi kama Young Africans SC tuna matumaini makubwa kuwa tutaendelea kunufaika na huduma bora za shirika hili kwa bei punguzo. Tunatambua mchango mkubwa wa Air Tanzaniakwa Klabu yetu nasi tunao wajibu wa kuwaunga mkono”- Rais Eng.Hersi Said

YANGA yasaini Mkataba na Air Tanzania“Tumekuwa na ushirika na Young Africans SC kwa muda mrefu sana, lakini kwa sasa tumeona umuhimu wa kuyaweka katika mfumo rasmi. Mkataba huu msingi wake haswa ni mabadilishano ya huduma. Ushirika huu faida yake sio tu kwa @airtanzania_atcl bali hata kwa vivutio vyetu vya utalii ambavyo tumekuwa tukivitangaza” Mhandisi Ladislaus Matindi – CEO Air Tanzania

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *