KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

KAULI ya Mgunda Kuelekea Mechi vs Azam FC May 09-2024

Filed in Michezo by on 08/05/2024 0 Comments

KAULI ya Mgunda Kuelekea Mechi vs Azam FC May 09-2024

KAULI ya Mgunda Kuelekea Mechi vs Azam FC May 09-2024

KAULI ya Mgunda Kuelekea Mechi vs Azam FC May 09-2024

KAULI ya Mgunda Kuelekea Mechi vs Azam FC May 09-2024, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC yamekamilika.

Mgunda amesema wachezaji wapo kwenye hali nzuri huku akikiri utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa Azam lakini wapo tayari kuwakabili.

Mgunda ameongeza kuwa Azam ni timu bora na ndio maana ipo nafasi ya pili kwenye Msimamo lakini tumejipanga kuhakikisha tunashindana na kushinda.

“Itakuwa mechi nzuri, Azam ni timu bora lakini tumejipanga kucheza na timu bora na tupo tayari kupambana ili kupata ushindi.”

“Maandalizi ya mchezo yamekamilika, wachezaji wapo kwenye hali nzuri tayari kupambana na lengo letu ni kupata pointi tatu,” amesema Mgunda.

Kwa upande wake mlinzi wa kati Hussein Kazi amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupigania timu ili kupata pointi tatu muhimu.

“Kwa upande wetu wachezaji tupo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho, tunajua itakuwa mechi ngumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda,” amesema Kazi.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *