NAFASI 14 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024
NAFASI 14 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024
NAFASI 14 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Nafasi za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Ajira Mpya za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Ajira za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024.
MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 14 POST |
Mkoa wa Simiyu |
2024-07-06 2024-07-19 |
N/A |
i. Kupima sampuli zinazoletwa maabara. ii. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu. iii. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali. iv. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi. v. Kufundisha watumishi walio chini yake. vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara. |
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y |
POST: MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 14 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-19 Login to Apply |
Tags: Ajira Mpya za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Ajira za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024., NAFASI 14 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Nafasi za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Simiyu July 06-2024