RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 8 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 02/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 8 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024

NAFASI za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024, Tume ya utumishi wa mahakama ajira 2024, Fomu ya maombi ya kazi tume ya utumishi wa mahakama, Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania address.

NAFASI za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024

NAFASI 8 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024, Nafasi za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024, Tume ya utumishi wa mahakama ajira 2024, Fomu ya maombi ya kazi tume ya utumishi wa mahakama, Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania address.

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Sheria ya Usimamizi wa Mahakama Sura 237 inaipa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na majukumu yake mengine, jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania.

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi Mahakama ya Tanzania katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi:

1.0 Hakimu Mkazi II – TJS 2 – (Nafasi 5)

SIFA ZA KUINGILIA:-

Waombaji wawe na Cheti cha kuhitimu kidato cha Nne au Sita, Shahada ya Sheria “Bachelor of Laws” (L.L.B) kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi za Elimu ya Juu zinazotambuliwa na Serikali pamoja na Stashahada ya Uzamili ya mafuzo ya Sheria kwa vitendo kutoka shule ya mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (The Law school of Tanzania).

Aidha,wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

KAZI ZA KUFANYA:-

  • Kuandaa mpango wa kusikiliza mashauri ya awali ya mashauri ya Jinai na Madai;
  • Kusikiliza mashauri ya awali ya Jinai na Madai;
  • Kusikiliza mashauri ya awali ya ndoa na mirathi;
  • Kuandaa na kutoa hukumu kuhusu mashauri yote aliyosikiliza;
  • Kutoa amri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria;
  • Kusuluhisha mashauri;
  • Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata;
  • Kufanya utafiti wa kisheria na kutoa ushauri; na
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake.

2.0 Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II TGS C (Nafasi 3)

SIFA ZA KUINGILIA:-

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili. Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI ZA KUFANYA:-

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa;
  • Kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao safari za mkuu wake na ratiba ya kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa walio katika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

Maelezo Muhimu kwa Waombaji wa Kada zote.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwa njia ya kielektroniki kupitia fomu ya maombi inayopatikana kwenye tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama www.jsc.go.tz

(NAKALA NGUMU HAZIPOKELEWI).

Zingatia mambo yafuatayo wakati wa kujaza fomu ya kielektroniki:-

  • Pakia (upload) vyeti vyote vya elimu na mafunzo pamoja na matokeo ya vyeti hivyo kadri utakavyohitajika kwenye fomu ya maombi bila kusahau cheti cha Kompyuta;
  • Pakia cheti cha kuzaliwa(pdf format);
  • Pakia picha ya rangi (passport size) ya hivi karibuni kwenye fomu ya maombi;
  • Taja namba za kitambulisho cha Taifa (NIDA);
  • Pakia nyaraka nyingine kadiri fomu itakavyokuelekeza kutegemea na kazi.
  • MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024

INASISITIZWA KWAMBA:-

  • Muombaji awe Raia wa Tanzania.
  • Hizi ni nafasi za Ajira mpya, hivyo watumishi ambao tayari wana ajira za kudumu katika utumishi wa Umma hawastahili kuomba nafasi hizi;
  • Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 44 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai au kufungwa jela;
  • Waombaji watakaoshinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania na wawe tayari kupangiwa kwenye kituo
    chochote chenye nafasi wazi;
  • Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao
    hayatashughulikiwa;
  • Waombaji waliowahi kuachishwa au kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma wasiombe;
  • Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa;
  • Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa wataondolewa kazini ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
  • Tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama – www.jsc.go.tz Simu ya maulizo: 0734219821 na 0738 247341
  • Barua pepe ya maulizo: maulizo.ajira@jsc.go.tz

Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni siku ya Jumatano,tarehe 13 Machi, 2024 saa sita usiku (Mfumo wa kupokea maombi utajifunga wenyewe).

Ili kupata fomu ya kielektroniki kwaajili ya kutuma maombi, tafadhali bofya [HAPA]

Available Job Vancancies

NO. KADA NAFASI KITUO CHA KAZI CLOSING DATE
1 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II (KATIBU MAHSUSI) Nafasi 3 Mahakama ya Tanzania 2024-03-13 Apply
2 HAKIMU MKAZI II Nafasi 5 Mahakama ya Tanzania 2024-03-13 Apply

Instruction

How to apply for a job

  1. The applicant should create account in the JSC Ajira Online Application Form
  2. Applicant should read and understand the advertisement before applying for the job.
  3. Applicant should indicate title of the position he/she is applying in cover letter
  4. Applicant should remember to attach all necessary documents (academics certificates).
  5. Submit your online application form and you will be notified on your successful or failure of your application

Write a good CV

After having an email address and Register to recruitment portal applicants should activate his/her account and fill all information needed (Personal Details) effectively as shown in the following stages;

  • Contact Details
  • Academic Qualifications
  • Professional Qualifications
  • Language Proficiency
  • Working Experience
  • Training & Workshop Attended
  • Computer Literacy
  • Referees
  • Other Attachments
  • Declaration

NAFASI za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama March 2024

General Condition for Applicants

GENERAL CONDITIONS

  • All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
  • Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
  • Applicants should apply on the strength of the information given in the advertisement.
  • The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
  • Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates (PDF format)
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
    – Form IV and Form VI National Examination Certificates.
    – Computer Certificate
    – Professional certificates from respective boards
    – Birth certificate.
    – One recent passport size picture .
  • FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
  • Testimonials, Partial transcripts and results slips will NOT be accepted.
    viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
  • Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply.
  • Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
  • Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
  • Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
  • Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
  • Application letters should be written in English or Swahili

www.jsc.go.tz login, JSC ajira portal login, Mahakama ajira portal, Nafasi za kazi Tume ya UTUMISHI wa mahakama March 2024, Kazi za mahakama, Nafasi za kazi mahakama zanzibar, JSC application form, www.jsc.go.tz application form, Nafasi za kazi mahakamani 2024.

 

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.