RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 29/04/2024

AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024

AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024, Nafasi za Ajira Zanajira April 2024, Nafasi za Kazi za Walimu zanzibar, Nafasi za Kazi za Walimu za Shule ya Msingi na Sekondari, Zanzibar Teacher’s Job Announcement, Ajira za Walimu Zanzibar April 2024, Ajira za Walimu Zanajira April 2024.

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwaajili ya Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo:

1.Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la III (ZPSG – 08) Nafasi 90 Unguja
na Nafasi 40 Pemba

SIFA ZA MUOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Physics
    katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya
    Zanzibar.

2.Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 17 Unguja na Nafasi 16 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Physics katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
    Mapinduzi ya Zanzibar.

3.Mwalimu wa ‘Biology’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 7 Unguja na Nafasi 10 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya Biology kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

4.Mwalimu wa ‘Biology’ Daraja la III (ZPSG – 08) Nafasi 8 Unguja na Nafasi 20 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya ‘Biology’
    kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5.Mwalimu wa ‘Chemistry’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 8 Unguja na Nafasi 8 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    ‘Chemistry’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
    Mapinduzi ya Zanzibar.

6.Mwalimu wa ‘Chemistry’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 58 Unguja na Nafasi 18 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Chemistry katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

7.Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 30 Unguja na Nafasi 25 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Hesabati au Shahada ya Kwanza ya Takwimu au Sayansi ya computer au Uhandisi wa Compyuta au ‘Actuarial Science’ kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8.Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la III ZPSE – 08) Nafasi 95 Unguja na Nafasi 55 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashada ya Ualimu wa masomo ya Hesabati
    au Stashahada ya Takwimu au hesabati kutoka katika chuo
    kinachotambuliwa na Serikali.

9.Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 141 Unguja na Nafasi 85 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Biashara au Shahada ya usimamizi wa biashara kutoka katika
    chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10.Mwalimu wa ‘Bookkeeping’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 2 Unguja

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    ‘Bookkeeping’ au Usimamizi wa biashara kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11.Mwalimu wa ‘Engineering Science’ Daraja la II (ZPSI – 02) Nafasi 4 Unguja na Nafasi 2 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Sayansi ya Uhandisi au Sayansi ya Uhandisi kutoka katika
    chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

12.Mwalimu wa ‘Fine Art’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 13 Unguja na Nafasi 4 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya ‘Fine Art’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

13.Mwalimu wa ‘Agriculture’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 5 Unguja na Nafasi 3 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Kilimo katika Chuobkinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

14.Mwalimu wa ‘Agriculture’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 4 Unguja na Nafasi 4 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Kilimo
    au Stashahada ya Uzalishaji wa Kilimo au kilimo mjumuisho
    kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Kwa waliokua hawajasomea ualimu wa Kilimo muombaji awe
    na ufaulu wa GPA usiopungua alama 3.5.

AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024, Nafasi za Ajira Zanajira April 2024, Nafasi za Kazi za Walimu zanzibar, Nafasi za Kazi za Walimu za Shule ya Msingi na Sekondari, Zanzibar Teacher’s Job Announcement, Ajira za Walimu Zanzibar April 2024, Ajira za Walimu Zanajira April 2024.15.Mwalimu wa ‘Home Economy’ Daraja la III (ZPSE – 06) Nafasi 15 Unguja na Nafasi 8 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya sanaa katika maarifa ya
    Nyumbani (Home Economy) katika Chuo kinachotambulika na
    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

16.Mkutubi Msaidizi Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 29 Unguja na Nafasi 21 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ukutubi katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

17.‘Lab Technician’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 54 Unguja na Nafasi 38 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya ‘Laboratoty Technician’ katika
    Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

18.Mwalimu wa TEHAMA Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 6 Unguja na Nafasi 4 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    TEHAMA kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya
    Mapinduzi ya Zanzibar.

19.‘Physical Education’ Daraja la II (ZPSG-06) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 2 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    ‘Physical Education’ kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
    ya Mapinduzi ya Zanzibar.

20.Mwalimu wa ‘Mechanical Engineering’ Daraja la II (ZPSI-02)
Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Mechanical
    Engineering’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
    Mapinduzi ya Zanzibar.

21.Mwalimu wa ‘Mechanical Engineering’ Daraja la III (ZPSG-04)
Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya ‘Mechanical Engineering’ katika
    Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

22.Mwalimu wa ‘Wood Worker and Painting’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    ‘Woodworker’ au Uhandisi Ujenzi (Civil Engineering) kutoka
    Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

23.Mwalimu wa ‘Wood worker and Painting’ Daraja la III (ZPSE – 06) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Wood
    worker au Stashahada ya Uhandisi Ujenzi kutoka Chuo
    kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

24.Mwalimu wa ‘Survey and Architecture’ Daraja la II (ZPSG-04) Nafasi 1 Unguja

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya ‘Survey’ au ‘Architecture’ katika
    Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

25.Mwalimu wa ‘Civil Engineering’ Daraja la II (ZPSI-02) Nafasi 1 Unguja

AJIRA MPYA ZA WALIMU ZANZIBAR DONWLOAD PDF DOCUMENT

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Uhandisi Ujenzi katika
    Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

26. Mwalimu wa ‘Civil Engineering’ Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 1 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Uhandisi Ujenzi katika Chuo
    kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

27.Mwalimu Sanaa Daraja la II (ZPSG-04) Nafasi 34 Unguja na Nafasi 16 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
    Sanaa (History/ English) au (History/ French) katika Chuo
    kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

28.Mwalimu Grade B Sanaa Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 60 Unguja na Nafasi 101 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa Msingi katika fani ya
    Sanaa kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

29.Mwalimu Grade B Sayansi Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 150 Unguja na Nafasi 153 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa Msingi katika fani ya
    Sayansi au Stashahada ya Ualimu wa TEHAMA kutoka Chuo
    kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

30.Mwalimu Grade C Daraja la III (ZPSD-02) Nafasi 135 Unguja na Nafasi 227 Pemba

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Cheti cha Ualimu wa Maandalizi au ‘Grade’ III A
    au ‘Grade’ III B au Mjumuisho katika Chuo kinachotambuliwa
    na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

31.Afisa Uchumi Daraja la II (ZPSG- 06) Nafasi 1 Unguja

Sifa za Waombaji:

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Elimu ya Shahada ya Kwanza katika Fani ya
    Uchumi.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:

Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia
tarehe 26 April, 2024 hadi tarehe 17 Mei, 2024.

Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi
Serikalini www.zanajira.go.tz.

Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-

KATIBU, TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR

Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.

Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of
Results” pekee maombi yake hayatazingatiwa.

Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu Nam. 0773101012.

NAFASI ZAIDI KUTOKA ZANAJIRA BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.