Ada za M-Pesa Songesha 2023/2024
Ada za M-Pesa Songesha 2023/2024
Ada za M-Pesa Songesha 2023/2024, Jinsi ya kukopa mpesa,Jinsi ya kukopa Pesa Vodacom,Vigezo na masharti ya songesha vodacom,Riba ya songesha, Vigezo na masharti ya songesha,How to use songesha vodacom, www.vodacom.co.tz m-pawa, Songesha menu.
Jinsi ya songesha na mpesa, www.vodacom.co.tz songesha, Songesha terms and conditions,Songesha ni nini,www.vodacom.co.tz m-pawa,How to use songesha vodacom,Songesha menu. M-Pesa Songesha ni huduma inayowawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kutumia fedha zaidi ya kiwango walichonacho kwenye akaunti zao.
Kampuni inayoongoza nchini kwa huduma za kifedha kwa njia ya mtandao wa simu, Vodacom, imezindua huduma ya kwanza na ya kipekee nchini ambayo inaruhusu wateja wa M-PESA kukamilisha miamala wakati hawana fedha za kutosha katika akaunti zao za M-PESA.
Kwa kutumia huduma hii, wateja wa M-Pesa sasa wataweza kutumia huduma hii kwa urahisi zaidi wakiwa na uhakika wa upatikanaji wa fedha kwaajili ya kukamilisha miamala yao kama vile kulipia bili, kutuma pesa kwa ndugu jamaa na marafiki au hata kununua bidhaa pasipo kuwa na fedha za kutosha katika akaunti zao.
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Songesha ni moja kati ya huduma nyingi za M-Commerce zilizozinduliwa ambazo nyingi zinaendana na maisha ya kidijitali zimeiwezesha Vodacom kuendelea kuongoza katika huduma za simu na fedha nchini kupitia miamala ya simu, umiliki wa soko na wateja.
Katika mwaka wa fedha uliomalizika mwezi Machi mwaka jana, M-Pesa iliongeza umiliki wa soko hadi kufikia asilimia 40 na kuingiza watumiaji zaidi ya milioni 9 katika mifumo rasmi ya kifedha ambao wanafanya miamala ya zaidi ya trilioni 4.1 kwa mwezi.
Watumiaji wa M-Pesa wanaweza kufikia Songesha kwa kupiga namba za huduma ya M-Pesa, *150*00#, kisha kuchagua huduma za kifedha na kujiunga na huduma hiyo ya M-Pesa Songesha.
Mara tu baada ya mteja kujiunga na Songesha, atapata ujumbe wa kiwango ambacho anastahili na ataweza kutumia kiwango hicho kukamilisha miamala yake.
Kiasi hicho kitarejeshwa pale ambapo mteja atapokea fedha katika akaunti yake ya M-Pesa.
“kiwango hicho kina riba ya asilimia 1 kwa siku 18 na wateja wanaweza kufanya miamala kwa kutumia huduma hii kadri watakavyo ikiwa ni ndani ya kikomo cha kiwango chao.
VIWANGO | ADA YA MAOMBI |
---|---|
1-1000 | 5.7% |
1001-2000 | 6.0% |
2001-3000 | 6.0% |
3001-4000 | 6.2% |
4001-5000 | 6.9% |
5001-6000 | 6.9% |
6001-7000 | 6.9% |
7001-8000 | 6.9% |
8001-9000 | 6.9% |
9001-10000 | 6.9% |
10001-20000 | 6.0% |
20001-30000 | 5.1% |
30001-40000 | 4.5% |
40001-50000 | 4.1% |
50001-80000 | 4.0% |
80001-100000 | 4.2% |
Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
Ada ya siku ni malipo ya ziada ya kila siku kutegemea na kiasi ulichopewa pamoja na muda wa ulipaji:
VIWANGO | Siku 1 | Siku 2 hadi 5 | Siku 6 hadi 10 | Siku 11 hadi 15 | Siku 16 na Zaidi |
---|---|---|---|---|---|
1-1000 | 4% | 7% | 10% | 14% | 16% |
1001-2000 | 4% | 7% | 10% | 14% | 16% |
2001-3000 | 4% | 7% | 10% | 14% | 16% |
3001-4000 | 4% | 7% | 10% | 14% | 16% |
4001-5000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
5001-6000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
6001-7000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
7001-8000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
8001-9000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
9001-10000 | 3% | 7% | 10% | 14% | 16% |
10001-20000 | 4% | 7% | 9% | 10% | 15% |
20001-30000 | 5% | 7% | 9% | 10% | 15% |
30001-40000 | 5% | 7% | 9% | 10% | 15% |
40001-50000 | 6% | 7% | 9% | 10% | 15% |
50001-80000 | 6% | 7% | 9% | 10% | 15% |
80001-100000 | 6% | 7% |
Tags: Ada za M-Pesa Songesha 2023/2024, How to use songesha vodacom, Jinsi ya kukopa mpesa, Jinsi ya kukopa Pesa Vodacom, Riba ya songesha, Songesha menu., Vigezo na masharti ya songesha, Vigezo na masharti ya songesha vodacom, www.vodacom.co.tz m-pawa