AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024
AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024
AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024, Nafasi za Ajira Zanajira April 2024, Nafasi za Kazi za Walimu zanzibar, Nafasi za Kazi za Walimu za Shule ya Msingi na Sekondari, Zanzibar Teacher’s Job Announcement, Ajira za Walimu Zanzibar April 2024, Ajira za Walimu Zanajira April 2024.
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwaajili ya Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo:
1.Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la III (ZPSG – 08) Nafasi 90 Unguja
na Nafasi 40 Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Physics
katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
2.Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 17 Unguja na Nafasi 16 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Physics katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Mwalimu wa ‘Biology’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 7 Unguja na Nafasi 10 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya Biology kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
4.Mwalimu wa ‘Biology’ Daraja la III (ZPSG – 08) Nafasi 8 Unguja na Nafasi 20 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya ‘Biology’
kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
5.Mwalimu wa ‘Chemistry’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 8 Unguja na Nafasi 8 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
‘Chemistry’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
6.Mwalimu wa ‘Chemistry’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 58 Unguja na Nafasi 18 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Chemistry katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
7.Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 30 Unguja na Nafasi 25 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Hesabati au Shahada ya Kwanza ya Takwimu au Sayansi ya computer au Uhandisi wa Compyuta au ‘Actuarial Science’ kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
8.Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la III ZPSE – 08) Nafasi 95 Unguja na Nafasi 55 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashada ya Ualimu wa masomo ya Hesabati
au Stashahada ya Takwimu au hesabati kutoka katika chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
9.Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 141 Unguja na Nafasi 85 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Biashara au Shahada ya usimamizi wa biashara kutoka katika
chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
10.Mwalimu wa ‘Bookkeeping’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 2 Unguja
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
‘Bookkeeping’ au Usimamizi wa biashara kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
11.Mwalimu wa ‘Engineering Science’ Daraja la II (ZPSI – 02) Nafasi 4 Unguja na Nafasi 2 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Sayansi ya Uhandisi au Sayansi ya Uhandisi kutoka katika
chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
12.Mwalimu wa ‘Fine Art’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 13 Unguja na Nafasi 4 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya ‘Fine Art’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
13.Mwalimu wa ‘Agriculture’ Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 5 Unguja na Nafasi 3 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Kilimo katika Chuobkinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
14.Mwalimu wa ‘Agriculture’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 4 Unguja na Nafasi 4 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Kilimo
au Stashahada ya Uzalishaji wa Kilimo au kilimo mjumuisho
kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. - Kwa waliokua hawajasomea ualimu wa Kilimo muombaji awe
na ufaulu wa GPA usiopungua alama 3.5.
15.Mwalimu wa ‘Home Economy’ Daraja la III (ZPSE – 06) Nafasi 15 Unguja na Nafasi 8 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya sanaa katika maarifa ya
Nyumbani (Home Economy) katika Chuo kinachotambulika na
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
16.Mkutubi Msaidizi Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 29 Unguja na Nafasi 21 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ukutubi katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
17.‘Lab Technician’ Daraja la III (ZPSE – 08) Nafasi 54 Unguja na Nafasi 38 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya ‘Laboratoty Technician’ katika
Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
18.Mwalimu wa TEHAMA Daraja la II (ZPSG – 06) Nafasi 6 Unguja na Nafasi 4 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
TEHAMA kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
19.‘Physical Education’ Daraja la II (ZPSG-06) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 2 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
‘Physical Education’ kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
20.Mwalimu wa ‘Mechanical Engineering’ Daraja la II (ZPSI-02)
Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Mechanical
Engineering’ katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
21.Mwalimu wa ‘Mechanical Engineering’ Daraja la III (ZPSG-04)
Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya ‘Mechanical Engineering’ katika
Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
22.Mwalimu wa ‘Wood Worker and Painting’ Daraja la II (ZPSG – 04) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
‘Woodworker’ au Uhandisi Ujenzi (Civil Engineering) kutoka
Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
23.Mwalimu wa ‘Wood worker and Painting’ Daraja la III (ZPSE – 06) Nafasi 1 Unguja na Nafasi 1 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya Wood
worker au Stashahada ya Uhandisi Ujenzi kutoka Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
24.Mwalimu wa ‘Survey and Architecture’ Daraja la II (ZPSG-04) Nafasi 1 Unguja
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya ‘Survey’ au ‘Architecture’ katika
Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
25.Mwalimu wa ‘Civil Engineering’ Daraja la II (ZPSI-02) Nafasi 1 Unguja
AJIRA MPYA ZA WALIMU ZANZIBAR DONWLOAD PDF DOCUMENT
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Uhandisi Ujenzi katika
Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
26. Mwalimu wa ‘Civil Engineering’ Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 1 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Uhandisi Ujenzi katika Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
27.Mwalimu Sanaa Daraja la II (ZPSG-04) Nafasi 34 Unguja na Nafasi 16 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa masomo ya
Sanaa (History/ English) au (History/ French) katika Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
28.Mwalimu Grade B Sanaa Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 60 Unguja na Nafasi 101 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa Msingi katika fani ya
Sanaa kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
29.Mwalimu Grade B Sayansi Daraja la III (ZPSF – 02) Nafasi 150 Unguja na Nafasi 153 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa Msingi katika fani ya
Sayansi au Stashahada ya Ualimu wa TEHAMA kutoka Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
30.Mwalimu Grade C Daraja la III (ZPSD-02) Nafasi 135 Unguja na Nafasi 227 Pemba
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Cheti cha Ualimu wa Maandalizi au ‘Grade’ III A
au ‘Grade’ III B au Mjumuisho katika Chuo kinachotambuliwa
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
31.Afisa Uchumi Daraja la II (ZPSG- 06) Nafasi 1 Unguja
Sifa za Waombaji:
- Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Elimu ya Shahada ya Kwanza katika Fani ya
Uchumi.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia
tarehe 26 April, 2024 hadi tarehe 17 Mei, 2024.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi
Serikalini www.zanajira.go.tz.
Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU, TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of
Results” pekee maombi yake hayatazingatiwa.
Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu Nam. 0773101012.
NAFASI ZAIDI KUTOKA ZANAJIRA BONYEZA HAPA
Tags: AJIRA Mpya za Walimu wa Msingi na Sekondari Zanzibar April 2024, Ajira za Walimu Zanajira April 2024., Ajira za Walimu Zanzibar April 2024, Nafasi za Ajira Zanajira April 2024, Nafasi za Kazi za Walimu za Shule ya Msingi na Sekondari, Nafasi za Kazi za Walimu zanzibar, Zanzibar Teacher’s Job Announcement