RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Nijuze's Latest Posts

TCU Majina 55,635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF

Filed in EDUCATION by on 03/09/2024 0 Comments
TCU Majina 55,635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF
SHARE THIS POST:

TCU Orodha ya Majina Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja au Programu 2024, TCU Multiple Selection 2024 Round One. Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ndiyo inasimamia mchakato wa udahili kwa vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania. Kwa mwaka wa masomo 2024/2025, TCU imetekeleza mfumo wa chaguzi nyingi ili kuchukua wanafunzi ambao wamekubaliwa katika taasisi […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

RAIS Samia afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi

Filed in Habari by on 03/09/2024 0 Comments
RAIS Samia afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi
SHARE THIS POST:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:- Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Luteni Kanali Fredrick Faustin Komba ameteuliwa kuwa Mkuu […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 03 September 2024

Filed in Magazeti by on 03/09/2024 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 03 September 2024
SHARE THIS POST:

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 03 September 2024 HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE TAREHE 03 SEPTEMBER 2024

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Iramba District Council

Filed in Ajira by on 03/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Iramba District Council
SHARE THIS POST:

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iramba Magharibi anapenda kuwatangazia wananchi wote walioomba kazi za Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) katika Tangazo la nafasi za muda za watendaji wa vituo vya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura la tarehe 15 Aprili, 2024 kwamba waombaji wote waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Mkalama District Council

Filed in Ajira by on 03/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Mkalama District Council
SHARE THIS POST:

Kwa kuzingatia Kanuni 12 (b) ya Kanuni za uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura za mwaka 2024 pamoja na Tangazo la nafasi za kazi za muda za Watendaji wa vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura la tarehe 15 Aprili, 2024 linalohusu nafasi ya Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa vifaa […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida District Council

Filed in Ajira by on 02/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida District Council
SHARE THIS POST:

Afisa mwandikishaji wa Jimbo la Singida Kaskazini anapenda kuwajulisha kuwa wafuatao wameitwa kwenye usaili wa nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Biometrick(BVR KIT OPERATORS) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utakaofanyika kwa siku mbili (2) katika vituo vinne(4) viliyopendekezwa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida kuanzia Tarehe […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council

Filed in Ajira by on 02/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council
SHARE THIS POST:

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Mashariki na Singida Magharibi anapenda kuwatangazia wananchi wote waliotuma maombi ya kazi ya muda ya Mwandishi Msaidizi na BVR Kit Operators kupitia Tangazo la tarehe 15 Aprili, 2024 lililotolewa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuwa uchambuzi umefanyika hivyo usaili wa nafasi hizo utafanyika kwa wale […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida Municipal Council

Filed in Ajira by on 02/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida Municipal Council
SHARE THIS POST:

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Mjini kwa kuzingatia Kanuni ya 12 ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za mwaka 2024, anawatangazia wafuatao kuwa wameitwa kwenye usaili wa nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Biometriki (BVR) kwaajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura. […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

INEC Walioitwa kwenye Usaili Itigi District Council

Filed in Ajira by on 02/09/2024 0 Comments
INEC Walioitwa kwenye Usaili Itigi District Council
SHARE THIS POST:

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Manyoni Magharibi anapenda kuwajulisha, wafuatao wameitwa kwenye usaili wa Nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya BVR KIT (OPERATOR) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura utakaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Itigi kuanzia tarehe 04/09/2024 hadi 06/09/2024 kama inavyoonekana hapa chini. […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

RATIBA Mechi za Yanga September 2024

Filed in Michezo by on 02/09/2024 0 Comments
RATIBA Mechi za Yanga September 2024
SHARE THIS POST:

Klabu ya Yanga SC inatarajiwa kucheza michezo minne (4) mwezi huu September 2024. Mechi 2 zikiwa ni za Ligi Kuu ya NBC, huku mechi 2 zikiwa ya hatua ya Kwanza ya CAF Champions League. Ratiba Kamili ya mechi za Young Africans September 2024 👉September 14-2024 16:00 CBE FC vs Young Africans (CAF Champions League) 👉September […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »