RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council

Filed in Ajira by on 02/09/2024 0 Comments
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council

INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Mashariki na Singida Magharibi anapenda kuwatangazia wananchi wote waliotuma maombi ya kazi ya muda ya Mwandishi Msaidizi na BVR Kit Operators kupitia Tangazo la tarehe 15 Aprili, 2024 lililotolewa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuwa uchambuzi umefanyika hivyo usaili wa nafasi hizo utafanyika kwa wale ambao majina yao yameorodheshwa hapo chini kwa tarehe na mahali ambapo usaili utafanyika kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Aidha siku ya usaili wote wanatakiwa kufika na vitu vifuatavyo:-

  • Vyeti vyote halisi (original) vilivyotumika kuambatisha nakala zake katika barua ya maombi ya kazi.
  • Kitambulisho cha NIDA au kitambulisho chochote chenye jina na picha ya msailiwa.

DONWLOAD PDF KUITWA KWENYE USAILI INEC – IKUNGI DC

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *