JINSI ya Kuongeza Channel Azam TV
JINSI ya Kuongeza Channel Azam TV
JINSI ya Kuongeza Channel Azam TV, Jinsi ya Ku Update Channel za Azam TV, Kama haupati baadhi ya Channel za Azam ni rahisi tu kuzirudisha kwani ukiwa na remote control tu unazirudisha.
Utachotakiwa kufanya ni kushika remote control yako na kufuata maelezo yafuatayo.
- Bonyeza MENU
- Bonyeza OK kwenye Search
- Bonyeza OK mara mbili
- Channel zitaanza kujiupdate yenyewe.
Una unatumia Kisimbuzi model nyingine tafadhali fanya hivi;
- Bonyeza MENU
- Bonyeza OK kwenye Setting
- Bonyeza OK kwenye Installation
- Bonyeza OK kwenye Manual Installation
- Shuka kwenye Start Search kisha Bonyeza OK