RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024

Filed in Michezo by on 29/07/2024

KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024

KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024, Kikosi Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo tarehe 29 July 2024, Kikosi Cha simba vs Al-Adalah FC mechi ya Kirafiki Julai 29-2024, Al-Adalah FC vs Simba SC July 29-2024.

KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024

KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024, Kikosi Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo tarehe 29 July 2024, Kikosi Cha simba vs Al-Adalah FC mechi ya Kirafiki Julai 29-2024, Al-Adalah FC vs Simba SC July 29-2024.

Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Al-Adalah FC ya Saudi Arabia, ukiwa ni mchezo wa tatu wa Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Leo Jumatatu Julai 29, 2024 kwenye Uwanja wa New Suez Canal Mjini Ismailia, Egypt Kuanzia Saa 1:00 Usiku.

Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Al-Adalah FC Leo, hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Al-Adalah FC Leo, Kikosi Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo.

KIKOSI Cha Simba vs Al-Adalah FC Leo July 29-2024

1:Ally Salim
2:Shomari Kapombe
3:Mohamed Hussein
4:Che Fondoh Malone
5:Karaboue Chamou
6:Fabrice Ngoma
7:Edwin Balua
8:Mzamiru Yassin
9:Steven Mukwala
10:Jean Ahoua
11:Joshua Mutale

Wachezaji wa Akiba
12:Hussein Abel
13:Augustine Okejepha
14:Valentino Mashaka
15:Awesu Awesu
16:Kelvin Kijili
17:David Kameta
18:Freddy Michael


Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Mganda Steven Mukwala ameeleza kufurahishwa na maandalizi ya pre-season ambayo Simba imepata nchini Misri

Mukwala amesema kuwa Wanamsimbazi watarajie mambo makubwa kutoka kwa timu yao katika msimu huo unaokuja.

Mukwala amefichua kuwa licha ya ugeni wake ndani ya timu hiyo na kutozoeana na wachezaji wenzake, amefurahia namna walivyompokea jambo linaloonyesha watafanya vizuri.

“Kwa sasa sitaki kuwaahidi mashabiki jambo lolote kwani msimu haujaanza ila wajue kabisa nina sapraizi yao na watambue mambo mazuri yanakuja, uwepo wangu na wachezaji wenzangu hapa ni ishara tosha tunapaswa kuipambania timu ili ifanye vizuri zaidi ya msimu uliopita.”

Mukwala aliongeza kucheza kwake ndani ya kikosi hicho anajisikia kama yupo nyumbani kwa sababu ya mapokezi mazuri ambayo ameyapata kutoka kwa wachezaji wenzake, viongozi na benchi la ufundi kiujumla hivyo atapambana kadri awezavyo.

“Kila kitu kinaenda vizuri na viongozi wamekuwa nasi bega kwa bega kuhakikisha tunatoa kilicho bora kwa mashabiki wetu, naamini msimu ujao utakuwa ni mzuri kwani jambo linalonifanya kuamini ni kila mmoja wetu anavyopambana mazoezini”

Mukwala ni mshambuliaji wa kati mwenye umri wa miaka 24 na urefu wa futi 5.6 ambaye amezaliwa mjini Makindye kwao Uganda mwaka 1999, huku akisifika zaidi kwa kasi na nguvu awapo uwanjani na uhodari wake wa kufunga mabao mengi kwa kutumia kichwa.

Nyota huyo hiyo msimu uliopita alifunga mabao 14 akiwa na kikosi cha Asante Kotoko ya Ghana nyuma ya kinara mshambuliaji wa Berekum Chelsea, Stephen Amankonah aliyefunga mabao 16.

Pia aliibuka mchezaji bora wa Ligi ya Ghana Desemba mwaka jana akiwa na kikosi hicho cha Asante Kotoko alichojiunga nacho Agosti 2022 akitokea URA ya kwao Uganda na katika msimu wa kwanza alifunga mabao 11 na asisti tano.

Akiwa URA, Mukwala alicheza kwa misimu mitatu kuanzia mwaka 2020 ambapo msimu wa kwanza wa 2019/2020 aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Uganda akifunga mabao 13 na msimu wa 2020/2021, akafunga 14 kisha 2021/2022 akatupia tena kambani mabao 13.

Straika huyo alianza soka la ushindani mwaka 2017 alipojiunga na Vipers akitokea Masaza FC, kisha akatua Maroons FC na akarejea Vipers na baadaye URA, pia amepita kwenye timu zote za taifa za Uganda kwa vijana na sasa ni tegemeo kwa Uganda Cranes

Tags: , , ,

Comments are closed.