RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024

Filed in Magazeti, Michezo by on 19/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024, Magazeti ya Leo Ijumaa tarehe 19-07-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Ijumaa July 19-2024, Magazetini Leo 19.07.2024, Mazetini Leo Ijumaa tarehe 19 Julai 2024,Magazeti ya Leo Ijumaa 19 July 2024.

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024, Magazeti ya Leo Ijumaa tarehe 19-07-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Ijumaa July 19-2024, Magazetini Leo 19.07.2024, Mazetini Leo Ijumaa tarehe 19 Julai 2024,Magazeti ya Leo Ijumaa 19 July 2024.

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa July 19-2024

Magazeti ya Tanzania leo tarehe 19 Julai 2024, Magazeti ya leo tarehe 19.7.2024 asubuhi, Magazeti ya Tanzania leo 19 July 2024, Magazeti ya Michezo ya Leo Ijumaa tarehe 19.07.2024, Magazeti ya Michezo leo tarehe 19.7.2024.

Haya hapa Magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 19.2024, Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 19.2024, Magazeti ya Michezo Ijumaa, Newspaper front pages for the 19th of July 2024, Magazetini Leo July 19-2024, Habari za Magazeti Leo July tarehe 19-2024.


Gazeti (kupitia Kiingereza kutoka Kiitalia gazzetta) ni karatasi zilizochapishwa habari na kutolewa mara kwa mara ama kila siku au kila wiki; kuna pia magazeti yanayotolewa mara moja au mbili kwa mwezi tu.

Magazeti dukani

Aina za habari
Mara nyingi gazeti huwa na habari za siasa, uchumi, utamaduni, michezo pamoja na hali ya hewa na programu za TV na burudani mbalimbali kama vibonzo, hadithi an vitendawili.

Sehemu nyingine muhimu ni matangazo ya biashara ambako kampuni au watu hununua nafasi gazetini na kutangaza biashara, mikutano na mengineyo.

Uhuru wa habari
Pamoja na vyombo vingine vya habari kama TV, redio au blogu, magazeti yanastahili uhuru wa maoni. Lakini katika nchi nyingi serikali zinajaribu kuzuia habari zisizopendezwa nazo. Kwa sababu hii Tangazo kilimwengu la haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa linatetea uhuru wa magazeti.

Pia kwa nchi ya Tanzania na nyinginezo vyombo vya habari vinahitaji uhuru wa kusikilizwa kwa kuunda misingi iliyo kamili katika kutetea haki zao ndipo wataweza kusikilizwa zaidi.

Chombo cha habari ni muhimu sana kwa jamii zetu za Kiafrika kwa vyombo hivi pia ndipo elimu mbalimbali hutolewa kwao. Hata hivyo magazeti yamekuwa pia chanzo kikubwa sana cha vijana kuchafuana majina na kuzushiana taarifa zisizokuwa rasmi kwa jamii, hasa pale ambapo wanakoseana heshima na kudharauliana. Jambo hili ni baya sana kwa taifa na kwa jamii kwa ujumla, kwani kukosekana kwa maadili yaliyo muhimu kwa jamii ni chanzo kikubwa cha kuonekana kuwa magazeti hayana faida kwa kizazi cha baadaye, japo magazeti ni kitu muhimu sana kwa dunia ya leo, iwe ya mtandaoni au ya kuchapishwa kwenye karatasi.

Magazeti ya kuuzwa na magazeti ya bure
Magazeti huuzwa madukani au na wauzaji barabarani. Katika nchi nyingi kuna pia mashine zinazotoa gazeti baada ya kuingiza sarafu. Mengine huagizwa na wasomaji na kupelekwa kwao nyumbani, kwa mfano kwa njia ya posta.

Kuna pia magazeti yanayotolewa bure; gharama zao zinalipiwa na matangazo pekee.

Katika mazingira ya kisasa magazeti yanapatikana pia kwa njia ya mtandao yakionekana kwenye tarakilishi. Njia hii mara nyingi ni bure vilevile, ila kuna baadhi za magazeti yanayoweka sehemu ya makala tu mtandaoni kwa watu wote, lakini makala mengine yanaonekana kwa wasomaji waliowahi kulipa ada na kuwa na neno la siri linalowaruhusu kutazama kurasa zote.

Magazeti yenye nakala nyingi
Magazeti ya Japani huwa na wasomaji wengi kuna tatu za kila siku zinazotolewa kwa nakala kati ya milioni 5 hadi 14 kila siku. Gazeti kubwa la Ujerumani “Bild” hutoa nakala milioni 3.8 kwa siku, gazeti kubwa la Marekani “America Today” milioni mbili. Gazeti kubwa la Afrika ya Mashariki ni Daily Nation wa Kenya yenye nakala 200,000 kila siku. Upande wa Tanzania ni gazeti “Mwananchi”

Magazeti ya kitaifa, kimataifa au kimahali
Nchi nyingi huwa na magazeti kadhaa yanayouzwa kote taifani. Kuna machache yanayoandaliwa kwa solo la kimataifa hasa, kwa mfano International Herald Tribune.

Lakini kuna pia magazeti mengi yanayokusanya habari za eneo au mji fulani hasa. Mifano yake katika Afrika ya Mashariki ni Arusha Times au Coastweek ya Mombasa. Katika nchi kama Marekani au Ujerumani sehemu kubwa ya magazeti ni ya eneo au miji fulani hasa.

Matumizi baada ya kusomwa
Magazeti huwa tena na matumizi baada ya kusomwa hasa kwa kufunga vitu sokoni au kurudishwa kiwandani kwa kutengeneza karatasi mpya.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.