RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 1040 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Geita July 01-2024

Filed in Ajira by on 01/07/2024

MAJINA 1040 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Geita July 01-2024

MAJINA 1040 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Geita July 01-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Leo July 01-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita 01-07-2024.

MAJINA 1040 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Geita July 01-2024

MAJINA 1040 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Geita July 01-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Leo July 01-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita 01-07-2024.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 01-07-2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/07/2024 hadi tarehe 09/07/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa mavazi nadhifu
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Kitambulisho cha Mkazi,
    Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi, Leseni ya Udereva,Hati ya kusafiria na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Geita ni jua wakati wa mchana na baridi
    wakati wa jioni, usiku na asubuhi hivyo mnashauriwa kuwa na nguo zinazostahimili mazingira hayo

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

Tags: , ,

Comments are closed.