RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 482 ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Wilaya ya Same July 01-2024

Filed in Ajira by on 02/07/2024

MAJINA 482 ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Wilaya ya Same July 01-2024

MAJINA 482 ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Wilaya ya Same July 01-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Same 01-07-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Same July 01-2024.

MAJINA 482 ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Wilaya ya Same July 01-2024

MAJINA 482 ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Wilaya ya Same July 01-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Same 01-07-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Same July 01-2024.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME 01-07-2024

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08-07-2024 hadi 09-07-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria,barua kutoka ofisi za Mtendaji wa kiji/mtaa.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
    nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME

Tags: , ,

Comments are closed.