RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024

Filed in Ajira by on 19/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024

MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Leo 19-06-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania tarehe 19 June 2024, Kuitwa Kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) June 19-2024.

MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024

MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Leo 19-06-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania tarehe 19 June 2024, Kuitwa Kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) June 19-2024.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA 19-06-2024

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-06-2024 hadi 27-06-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

The Open University Of Tanzania

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
    Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa Jiji la Dar es Salaam lina foleni ya magari kutegemea na mahali
    unapotoka hasa nyakati za asubuhi na jioni hivyo mnashauriwa kuzingatia muda wa kuanza usaili.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA 739 YA WALIOITWA KWENYE USAILI KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA LEO JUNI 19-2024

MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Kikuu Huria Tanzania June 19-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.