RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Chuo Cha CBE May 02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 02/05/2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Chuo Cha CBE May 02-2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Chuo Cha CBE May 02-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Chuo cha Elimu ya Biashara CBE May 02-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili CBE May 2024, Kuitwa Kwenye Usaili CBE May 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) 02-05-2024.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara anapenda kuwataarifu waombaji kazi za muda maalumu katika Nafasi za Afisa Tehama (Software System Developer, Web developer, Database Administrator, Network Administrator, Security Specialist na Multimedia Specialist) Daraja la II kupitia Tangazo la Ajira lenye Kumb. Na: BA.459/531/01 la tarehe 12 Februari 2024, kwamba usaili utafanyika kuanzia tarehe 8/05/2024 hadi tarehe 10/05/2024, Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu Dar es Salaam.

Wasailiwa wanaoitwa katika usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

  • Usaili utafanyika kwa tarehe zilizoonyeshwa katika Tangazo hili;
  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na Kitambulisho kinachomtambulisha kama vile: a. Kitambulisho cha kazi;
    b. Kitambulisho cha Mpiga Kura;
    c. Kitambulisho cha Uraia; au
    d. Hati ya kusafiria; au
    e. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa au mamlaka husika.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti halisi kuanzia Cheti cha Kuzaliwa, Cheti cha Kidato cha nne, Cheti cha Kidato cha Sita, Astashahada, Stashahada, na shahada;
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results Slips, Statement of Results, hati za matokeo za kidato cha nne na sita HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa usafiri, chakula na malazi;
  • Usaili utafanyika Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es Salaam iliyopo katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed.

KUONA MAJINA YA WALIOTWA KWENYE KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) 02-05-2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Tags: , , , ,

Comments are closed.